Shoga acha kulamba asali kwa ncha ya kisu

Shoga acha kulamba asali kwa ncha ya kisu

Kwa hiyo ndicho kitu ulichokipenda saaana?
Usifikirie sie mama zako tunazaa nje ya ndoa kwamba tunapenda,
ni maisha tu hayo.

Mamkubwa please... Mie nimecopy tu na kupaste, hujaona hapo mwishoni kuna source?
 
Kombora limenigusa sanaaa......... ntabadilika taratibu!
 
Duniani ni kuzidiana ujanja tu ndiyo mpango mzima! Kama mume mwenyewe ni zezeta kwa nini asizidiwe? Nisingizie mimi mimba au mtoto uone mziki wake!
 

Nakuona moyo unakupiga kama mdundo wa ngoma kubwa

nimesoma nieishia hapo kwenye red
 
Back
Top Bottom