Shoga acha kulamba asali kwa ncha ya kisu

Shoga acha kulamba asali kwa ncha ya kisu

hii thread wachangiaje wachache kweli. Hapa wengi wameguswa wameingia mitin wanaona haya kuja hapa.. Kudadeki. Hii ni sawa na motor
 
Mi mtu wangu wa karibu watoto wanne wawili si wake hawafanani na yeye wala mama yao kuanzia sura mpaka tabia anaogopa ht dna maana ila anataka afanye next year
 
Umenirudisha nyuma kuna ndugu yetu wa kiume Mwenye asili ya kizungu, alibambikiwa mtoto na mkewe kwakumtizama tu unajua hili chaka, bahati mbaya huyo ndugu yetu alifariki tulichofanya tulibeba wakwetu tukamuachia wake.
 
hahaaa...eti mke wa mtu tena jimama linivulie chupi siliachi hivihivi....aisee cha mtu kitamu...nilionjeshwa na mama mmoja duhh
..hayo mautamu ni sheedah
 
Back
Top Bottom