Shoga (Abdul) aiomba serikali iwakumbuke kwenye mchakato wa katiba

Makundi yanayo hitaji kusikizwa na kupangiwa mambo ni kama WASIOJIWEZA, WAJANE, WATOTO YATIMA na wengine,, sio mashoga!!!, Hao Mashoga hawaezi kufanya kazi..ama kama kazi ni hio pia ni sawa.. hawa si watu wakusikizwa!!!!
 
hivi kwanini mashoga wengi ni wa MAJINA hayo then wanaishi magomeni..!?
 

ameen washindwe na walegee sana
 

amina.
 
offcourse sisi ndio kina anti athumani,anti Musa .anti abduli na dini yetu inaruhusu haya mambo ..ukienda kwetu mombasa haya mambo utayakuta sana utatukuta tupo misikitini au kwenya saluni

Kuuumbeeee...
 
TGNP sasa wameamua kula pesa za wazungu kwa kupitia mgongo wa kutetes mashoga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…