Shoga (Abdul) aiomba serikali iwakumbuke kwenye mchakato wa katiba

Bhega

Member
Feb 18, 2011
16
1
pumbav ye anasema hawana shughuli za kufanya
mi sitakagi kuskia hayo majamaa yanayojiita mabwabwa
akafagie barabara,auze uremboa,akaange vyepe
hawa wanakuwaga wavivu kufanya kazi na wanachagUA KAZI
na wengine maunga na ujinga tu unawasumbua/kuiga mambo

<br / kuna shoga mmoja hapa SHY TOWN yeye kaz yake ni kubadilisha mavaz tu hana kaz nyingine.

Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
410
Stella Aron na Mohamed Hamad

SERIKALI imeombwa kuangalia kwa upana suala la mchakato wa uandaaji wa katiba mpya kwa kuweka kifungu kitakachowasaidia mashoga kuondokana na adha na kero ya kunyanyapaliwa.

Ombi hilo lilitolewa jana Dar es Salaam na Bw. Abdul Zungu ambaye ni shoga na mwanaharakati katika tamasha la jinsia lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).

Alisema kuwa kutokana na hali waliyonayo asilimia watu wengi katika jamii wamekuwa wakiwatenga na kuwanyanyapaa na kusababisha kuishi kwa hofu na hata kutishiwa kuuawa kwa silaha.

Alisema pia wapo baadhi ya mashoga waliopoteza maisha kutokana na kuuawa na wanapofuatilia huwa kesi zao hazitiliwi maanani kutokana na kukosa utetezi.

"Tuna haja ya sisi kupata mwakilishi katika ngazi za maamuzi na ndio maana tunataka katiba yenye kututambua kama sehemu ya jamii inayopaswa kulindwa na kupata huduma za kibinadamu, " alisema Abdul.

Bw. Zungu alisema wanashangazwa na jamii kuwatenga na kuwanyima kuwapa huduma muhimu kwa tuhuma kuwa vitendo wanavyofanya havimpendezi Mungu."Tunaiomba Serikali iangalie upya kwa kuweka kifungu ambacho kitatulinda kwani kutokana na hali yetu tumekuwa tukikumbana na kero mbalimbali ikiwemo ya kutengwa na jamii, " alisema.
Mshiriki huyo alisema kuwa licha ya umoja wao kuwa na sifa mbalimbali lakini wanapofanya maombi ya kazi katika ofisi mbalimbali wamekuwa wakinyimwa bila ya sababu.

Alidai kuwa si kwamba hawana uwezo wa kufanya kazi yoyote ya kuwapatia maslahi bali kinachofanyika ni kukosa nafasi hizo na kujikuta hawana kazi ya kufanya na badala yake huendeleza

ushoga ili kupata kipato cha kuwawezesha kuishi."Kama Mungu angekua hatupendi basi hata leo sisi tusingeweza kuishi hapa duniani nanyi hivyo hakuna sababu ya kututenga kuishi nanyi. Haya ni matwakwa yake," alisema.

Kwa upande wa suala la afya alisema wamekuwa wakinyanyapaliwa hasa pale wapohitaji huduma hizo na wakati mwingine huduma hizo huzipata kwa ubabe kwa baadhi ya madaktari ama kutopata kabisa.

Alisema ni vyema Serikali ikawatambua mahali walipo ili nao waweze kuchangia katika mapambano ya kuunda katiba mpya ambayo itajibu mahitaji yao.

"Kama katiba haitatutambua hakuna mtu ambaye anaweza akasimama kidete kututetea na badala yake ushoga utaendelea kila kukicha huku makundi yasiyokuwa na maadili yakiibuka ndani ya jamii," alisema.

Alisema mbali ya kundi lao ambalo linaonekana kutengwa pia kuna makundi mengi ambayo Serikali imeshindwa kuyatambua na kusema katiba nzuri ni ile inayogusa makundi yote ndani ya nchi yao.

Naye Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Bi. Ananilea Nkya alisema njia pekee ya kujibu matatizo ya wananchi ni kupatikana kwa katiba inayotokana na matatizo ya wananchi wenyewe hivyo hakuna sababu ya kuanza kujadili idadi ya kurasa wakati matatizo hayajainishwa.

"Wakati mwingine utasikia viongozi wa Serikali wakikosoa jitihada za wanaharakati wakidai kuwa wanaleta mlolongo wa mambo mengi ni katiba gani tutakayoandika yenye kuingiza mambo yote hayo?, " alisema

Hata hivyo kulikuwa na idadi kubwa ya mashoga katika tamasha hilo na kuwa kivutio kwa wananchi mbalimbali waliohudhuria ambao hawajapata kuwaona 'laivu' huku wengine baadhi ya wakiangua kilio na wengine kicheko.
habari hii kutoka gazeti za Majira

Upuuzi mtupu!

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,396
58,209
Naona wiki hii mmeamua kudai haki zenu kwa sauti.
offcourse sisi ndio kina anti athumani,anti Musa .anti abduli na dini yetu inaruhusu haya mambo ..ukienda kwetu mombasa haya mambo utayakuta sana utatukuta tupo misikitini au kwenya saluni

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,340
offcourse sisi ndio kina anti athumani,anti Musa .anti abduli na dini yetu inaruhusu haya mambo ..ukienda kwetu mombasa haya mambo utayakuta sana utatukuta tupo misikitini au kwenya saluni

Sasa wewe ni anti Ivuga au sio, au unatumia jina la baba yako anti Musa?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,396
58,209
Sasa wewe ni anti Ivuga au sio, au unatumia jina la baba yako anti Musa?
hu
ku mombasa mahakama ya kadhi inafanya kazi ..bongo sijui wanasubiri nini
[video=youtube_share;kPrVAWHlG8w]http://youtu.be/kPrVAWHlG8w[/video]

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
ndio demorasia kila mtu ana uhuru wa kufanya lolote....kwa tanzania hawa jamaa hawana shida coz ukiwa shoga watu wanacheka wanaenda na safari zao.....mtaani kwetu kulikuwa na shoga mmoja alikuwa anaitwa cheupe alikuwa kama demu na ****** alikuwa akiyabinua,alikuwa anapenda pombe za kienyeji basi siku moja alilewa basi walevi wenzake wakamfanyia kazi ****** wote ukatoka njee!toka siku hiyo mtaani hakuna shoga tena.

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
256
Kama ni hivi bora tubakie na katiba ya sasa ya kidictator, kifisadi nk...., na wakiingizwa basi with no objection, katiba hiyo haipati kura yangu....!

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,912
7,430
Shetani na wafuasi wake wanadai tena kwa nguvu kutambulika rasmi kwenye katiba ya Tz,kwa hili tunakaribia kugongwa chata ya 666 na naiona ipo karibu yetu...sasa mbona maanti hao wote ni wajumbe wa OIC?nijuzwe tafadhari..kulikoni?eti anti Juma,anti Mussa,anti Idd,anti Mud...na anti Jakaya!!?

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom