Shoe memes

Shoe memes

darasani

Senior Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
158
Reaction score
46
Wakuu ule mchezo wa kupost viatu kule "twitter" sijaupenda maana nimeona kiatu alichopenda kuvaa marehemu mama yangu, then ujumbe juu ya kiatu ulikua "kwa hiyo ndo umeamua kuniacha" for real sijaupenda ule utoto, leo hii twitter niliyoitegemea kusoma content imepoteza sifa zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kutanguliza hisia kwenye mambo kama hayo
 
Umetumia nguvu sana kuwaza kwa jambo dogo tu,ulimwengu wa social media siyo kila jambo nilakuzingatia kiasi cha kufikia huko.
 
Maisha yanakuwa ya kufurahisha kila siku kwa kutazama vitu vidogo vidogo kwenye social media
Zile memes zilinifurahisha sana
 
Rudi darasani

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom