Ndiyo kwa akili yangu ndogo hakuna anayeweza kuzuia kifo, bali unaweza kukisogeza mbele, kwani kifo ni jambo la asilia kwa viumbe vyote, isitoshe binadamu huanza kufa kidogo kidogo kuanzia siku anazaliwa, hivyo ukifikia utu uzima sehemu kubwa inakuwa imeshakufa na hiyo huwezi rudisha nyuma.