Shocking moment naked woman is found in pit where she had been kept for EIGHT MONTHS by her boyfrien

Kim Jo Ngil

Member
Jan 3, 2014
45
17
Hii ni aibu kwa nchi yetu jamani.

Habari kwenye link hiyo nchini Uingereza tayari.

======================

Shocking moment naked woman is found in pit where she had been kept for EIGHT MONTHS by her boyfriend after African witch doctor told him burying her would make him rich

  • Woman in 20s found curled up floor and shackled to wall of makeshift tomb
  • She was horrendously emaciated and her back muscles had fused together
  • Victim is expected to need months of rehab to help her walk properly again
  • Witch doctor told boyfriend he had to bury person he loved most to get rich
By Simon Tomlinson for MailOnline

Published: 13:10 GMT, 4 February 2016 | Updated: 20:47 GMT, 4 February 2016

This is the distressing moment a young woman is found naked in a concrete pit after being kept there for eight months by her boyfriend because a witch doctor said it would make him rich.

Shocking video shows the victim hunched in a ball on the floor after being discovered by police in Tanzania.

The woman, thought to be in her 20s, was shackled to the wall of the tomb and had only been fed twice a week.

30E0850E00000578-3431647-image-a-84_1454591888816.jpg

Shocking video captures the moment a young woman is found naked in a concrete pit after being held there for eight months by her boyfriend who had been told by a witch doctor that doing so would make him rich
30E03F7A00000578-3431647-image-m-62_1454590814550.jpg

Terror in the tomb: The victim was found hunched in a ball on the floor after being discovered by police in Tanzania. She had been held in the dark for so long she winces in daylight
30E0852000000578-3431647-image-m-87_1454591903842.jpg

The woman, thought to be in her 20s, was shackled to the wall of the tomb and had only been fed twice a week

Chanzo: Dailymail.co.uk
 
Wazungu wanatuchukulia sisi kama vituko
Sisi nako hatuna umoja wala upendo
Hatujawah kusimama tukakemea udhalilishaji huu
 
Wazungu wanatuchukulia sisi kama vituko
Sisi nako hatuna umoja wala upendo
Hatujawah kusimama tukakemea udhalilishaji huu
Babu JP si kweli kabisa Africa tuna upendo halisi na wa kweli hao wadudu kalumakenge hawa nimeishi nao nawafahamu vema afadhali unafiki wa mswahili kuliko wa ngozi ya kitomoto
 
Lini tanzania ilishakuwa safi?? Ukiulizwa wanolazimisha ushindi -tanzania, Wezi wa mabewa - Tanzania
Wakwepa kodi wakubwa- Tanzania
Wauwaji wa albino - Tanzania
Wachuna ngozi- Tanzania
serikali inayodanganya watu wake - Tanzania
Wasio taka bange ihalalishwe huku wao ndo wauzaji Na watumiaji - Tanzania
Wanopandisha twiga ndege - Tanzania uwiii hadi mkono unauma,
 
Wazungu wanatuchukulia sisi kama vituko
Sisi nako hatuna umoja wala upendo
Hatujawah kusimama tukakemea udhalilishaji huu

Kwanini unasema hivyo wakati alieiweka hii video kwenye YOUTUBE ni mtanzania sio mzungu,,nilichokiona mimi hapa ni hawa wapuuzi wanaomuliza huyo msichana maswali ya kijinga badala kutumia muda wao kumtoa kwenye hilo shimo,hapo ndio utajua kuwa watanzania wengi au unaweza kusema wote ni matahira,kiasi wenzetu watushangae
 
Babu JP si kweli kabisa Africa tuna upendo halisi na wa kweli hao wadudu kalumakenge hawa nimeishi nao nawafahamu vema afadhali unafiki wa mswahili kuliko wa ngozi ya kitomoto
ni dharau tu wanayo kwetu. Mimi nachowapendea wanajitahidi sana kufuata sheria za nchi na sheria za kazi na kadhalika. Wapo makni kwa hilo
 
Lini tanzania ilishakuwa safi?? Ukiulizwa wanolazimisha ushindi -tanzania, Wezi wa mabewa - Tanzania
Wakwepa kodi wakubwa- Tanzania
Wauwaji wa albino - Tanzania
Wachuna ngozi- Tanzania
serikali inayodanganya watu wake - Tanzania
Wasio taka bange ihalalishwe huku wao ndo wauzaji Na watumiaji - Tanzania
Wanopandisha twiga ndege - Tanzania uwiii hadi mkono unauma,
Huu ni ukweli mtupu, viongozi kung'ang'ania madaraka ndiyo usisema
 
Hizi habari zimeandikwa na nani ??? Wazungu gani mbona hicho ni Kingereza cha ki Afrika kabisa ?? Au ndio yale ya Kinana kuandika makala yake na kuyatuma Marekani kuhusu upinzani na kusema uamsho ni Magaidi hivyo upinzani sio watu wa kuwapa nchi

Kuna uwezekano aliye andika hiyo makala ni mtu mwenye mawazo kama ya Kinana
 
kumbe KINANA naye anatemaga yai ?
 
kumbe KINANA naye anatemaga yai ?
Ndio wakati wa uchaguzi aliandika makala zake za kichochezi sijui uamsho ni magaidi alafu akawa link na upinzani , kuionyesha dunia kwamba sio sawa kwa upinzani kutawala nchi
 
Hadithi ya kutunga hii wanadanganyana tu. hizo details anaziweka ili anogeshe habari na huo uwongo wao. ilishafahamika huyu ni mgonjwa wa akili na si msukule kama tulivyodanganywa awali.
 
Back
Top Bottom