Shocking Image! Unyanyasaji wa wanawake.

Shocking Image! Unyanyasaji wa wanawake.

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,055
Reaction score
781
tz.jpg
Kwa kweli unyama huu kwa wanawake ni hatari

nimeipata kwenye fb ni mkoa mmoja nchini tz
 
Jamani kweli hii imezidi na inatisha amefanya nini mmama wa watu?na hata kama angekuwa amekosa hakustahili adhabu ya namna hiyo?na huyo mtendaji amechukuliwa hatua gani au ndio ameingia mitini?
 
Oooh sorry, nimetukana! Pole sana dada yenu, utapona .... aliyekufanyia hivyo hope mpaka sasa kama hajajiua then ameanza kulipwa kwa matendo yake!
 
jamani kweli hii imezidi na inatisha amefanya nini mmama wa watu?na hata kama angekuwa amekosa hakustahili adhabu ya namna hiyo?na huyo mtendaji amechukuliwa hatua gani au ndio ameingia mitini?

valentine day ..................................?
 
Back
Top Bottom