Gesi ni bora zaidi mkuuZa gesi sijawah tumia ila unanishaurije kati ya hzo za gesi na nyingine na bei ikoje..?
Ndio kamanda
Mkuu hivi mm ndo nachanganya make shock up na suspension kama vitu viwili tofaut japo sio fundi mmNabadili shockup tu za nyuma