Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,763
Mkuu mbona siku hizi unacomment kwa machale,mara chache sana na kwa uangalifu mkubwa sana hapa JF??[emoji30] .......kuna siri gani nyuma ya pazia??[emoji24] .....unataka kuniambia ya kwamba mtu kuwa na mahusiano hapa JF ni utumwa wa kimyakimya? 🙂Ninachoweza kusema hapa ni kuwa WITH/WITHOUT MAKE UP huyo binti ni mzuri, sitajutia mahari yangu akiondoa make up!