Shkamoo makeup!

Shkamoo makeup!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
1478549230944.jpg
 
Make up + kamera 360 + lip shine + kope fake + wanja = ndio kawa hivo
 
Ndio maana sipendi make-up.
Napenda kuwa kama nilivyo,labda ktk special events tu tena usiku na ni mara chache.
Make-up ni utumwa,ukijizoesha unakosa kujiamini.
 
Mkuu ni kwa kuwa una uzuri wa asili. Kama una mabaka ya chunusi, pengine na mba au mbalanga na ukasubiri mpaka yapone yenyewe si utapitwa na mengi.

Jipodoe ufungue milango. Atakaekupenda, kabla hajalipa ng'ombe unamueleza ukweli - lakini wakati huo amekujua tabia na ukarimu wako tayari.
 
Sipendi kufake,kwanini niishi ktk uongo?Akinipenda anipende kama nilivyo,hawezi kheri pia.
 
Huo ni uhuru wa hali ya juu sana kwa jinsia zote mbili. Hongera bibie.
 
Ndio maana sipendi make-up.
Napenda kuwa kama nilivyo,labda ktk special events tu tena usiku na ni mara chache.
Make-up ni utumwa,ukijizoesha unakosa kujiamini.

AMEN
 
Labda sijui maana ya make-up - naomba msaada:

Mfano - Binaadam kwa asili hutoa mafuta kwenye ngozi. Haya mafuta mara nyingi hufanya uso wa mtu umeremete. Watu wengi, hasa watangazaji wa televisheni hutumia poda usoni kukausha haya mafuta ili wasimeremete.
  • Hii poda ni aina ya make-up.
  • Pia kuna matumizi ya mafuta kufanya nywele zichanike kiurahisi na kuzishikilia. - Makeup
  • Kuna kupaka lipstick au lip-gloss. - Makeup
  • Kuna kuvaa nywele bandia (wigs, weaves, extensions katika misuko). - Makeup
  • n.k.
- Mnataka kusema sio vizuri kutumia vitu hivi?
- Hivi makeup inaanzia wapi na inaishia wapi?
 
Ndio maana sipendi make-up.
Napenda kuwa kama nilivyo,labda ktk special events tu tena usiku na ni mara chache.
Make-up ni utumwa,ukijizoesha unakosa kujiamini.
Laiti kama wanawake / ma binti wote wangekua na mawazo kama yako!
 
Ndio maana sipendi make-up.
Napenda kuwa kama nilivyo,labda ktk special events tu tena usiku na ni mara chache.
Make-up ni utumwa,ukijizoesha unakosa kujiamini.
True, you can wear a bit at occasions but certainly not everyday
Ila hizi vitu hazinaga madhara kwenye ngozi kweli?
 
Kama photoshop haijahusika basi hao ni kulwa na doto,
Mmoja anakaa kijijini chato mwingine ni daisalam, angalia pua zao.
same person with/without make up.
 
Back
Top Bottom