Shkamoo gauni la harusi

hii ni siku ambayo hata kuja kusahau kamwe, kulikuwa na ulazima gani wa kuvaa gauni kama hiyo??
 
Usasa mkuu...! siku hizi watu wanaleta mambo ya u-sasa hata kusikofaa kabisa mfano kwenye nyumba za ibada..
watu wanatafuta kufanya kitu cha tofauti ambacho kitafanya sherehe yake kubaki kuwa gumzo (hasa kwa wanawake wenzie)
 
kweli mkuu ila haipendezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…