Professor Shivji! the spineless, erratic, unreliable hypocrite!! Bahati mbaya kwake ana ushahidi wa kujichanganya katika maandishi!! Kumbe msaka tonge wa CCMAJAMBAZI!!Wadau kuna wakati vyombo mbalimbali vya habari viliripoti juu ya mhadhara wa profesa issa shivji na wanafunzi wa vyuo vikuu (udsm) ambapo pamoja na mambo mengine mapendekezo ya serikali tatu yaliyopendekezwa na tume ya jaji waryoba yalipingwa vikali.
Mimi nikiwa ni mmoja wa wanafunzi wa udsm, napenda kuweka wazi kuwa siku hiyo walioruhusiwa kuingia ni vijana wa ccm tu. Na kwamba hata pale wasio wanaccm walipobahatika kupata taarifa juu ya mhadhara huo hawakuruhusiwa kuingia ndani coz waliombwa kuonyesha kadi zao za ccm na kwa vile hawakuwa na hizo kadi walizuiliwa kuingia.
Ninamshangaa mtu kama Profesa Shivji kutumika vibaya kiasi hiki.
Naomba watanzania waendelee kuiamini udsm kwa kuzingatia kuwa wanaccm (kenge) hawakosi katika msafara wa mamba (wasomi makini) hapa udsm.
Nawasilisha.
Wadau kuna wakati vyombo mbalimbali vya habari viliripoti juu ya mhadhara wa profesa issa shivji na wanafunzi wa vyuo vikuu (udsm) ambapo pamoja na mambo mengine mapendekezo ya serikali tatu yaliyopendekezwa na tume ya jaji waryoba yalipingwa vikali.
Mimi nikiwa ni mmoja wa wanafunzi wa udsm, napenda kuweka wazi kuwa siku hiyo walioruhusiwa kuingia ni vijana wa ccm tu. Na kwamba hata pale wasio wanaccm walipobahatika kupata taarifa juu ya mhadhara huo hawakuruhusiwa kuingia ndani coz waliombwa kuonyesha kadi zao za ccm na kwa vile hawakuwa na hizo kadi walizuiliwa kuingia.
Ninamshangaa mtu kama Profesa Shivji kutumika vibaya kiasi hiki.
Naomba watanzania waendelee kuiamini udsm kwa kuzingatia kuwa wanaccm (kenge) hawakosi katika msafara wa mamba (wasomi makini) hapa udsm.
Nawasilisha.
RIP udsm! No more independent ideas
- Yaaani kaka umeongea vizuri sana yaani kama Warioba alivyowakilisha maoni ya Bakwata tofauti na maoni yao ya kweli kama alivyosema mjumbe wa Bakwata bungeni, kumbe na Shivji alifanya hivyo hivyo kama Warioba? duh kweli hii Katiba ni kazi sana!!
Le Mutuz System

Issa Shivji ni jasiri sana