Ukifuatilia bunge la katiba utagundua hakuna mtu anaetajwa na wajumbe kama Issa Shivji...wanatumia vitabu vyake wanamshambulia wanamtuhumu wanamsifia najiuliza tu why wasimuite akazungumza nao na wakamueleewa? Hakuna kanuni inayoruhusu hilo?
Kuna mtu anaitwa Chabruma ni mjumbe wa jf anaehudhuria vikao vya bunge mjengoni, huenda akatusaidia kufikisha wazo hili kwa mwenyekiti 6 kisha tukapata majibu ya uhakika.
Chabruma pita hapa tafadhali ni muhimu sana.
Yaani itasaidia sana
Wakamuelewa? Una maana gani mwenzangu...kwamba wajumbe wa BMLK wameshindwa kumuelewa Shivji na hivyo apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi! Ili iweje, aweze kujitetea? Kama ni hivyo sioni kabisa mantiki ya huyo mnafiki kuitwa labda kama hiyo nafasi watapewa wote wanaotajwa kwenye mjadala...naamini wa kwanza kabisa anayehitajika kupewa nafasi hiyo ya kutoa ufafanuzi ni aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume Mh. Jaji Sinde Joesph Warioba. This would probably make more sense, not Shivji.Ukifuatilia bunge la katiba utagundua hakuna mtu anaetajwa na wajumbe kama Issa Shivji...wanatumia vitabu vyake wanamshambulia wanamtuhumu wanamsifia najiuliza tu why wasimuite akazungumza nao na wakamueleewa? Hakuna kanuni inayoruhusu hilo?
Nimemsikiliza....ila kwa akili yako unadhani alisema mliyokuwa mnawaza...Lissue hakumtukana Nyerere wala kumuita mwongo..aliita CCM kwa ujumla waongo...Lissu alisema Amri na uvunjaji sheria wa Nyerere,ila hakusema jitihada za Nyerere kuficha ukweli..km alikuwa na amri sidhani km angechagua njia ya uongo zaidi ya Amri hiyo hiyo kuzimisha....so usidhani sana km anakusupportNjoo msikilize mbunge wenu anasemaje: [h=1]Topic: Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu![/h]
Wakamuelewa? Una maana gani mwenzangu...kwamba wajumbe wa BMLK wameshindwa kumuelewa Shivji na hivyo apewe nafasi ya kutoa ufafanuzi! Ili iweje, aweze kujitetea? Kama ni hivyo sioni kabisa mantiki ya huyo mnafiki kuitwa labda kama hiyo nafasi watapewa wote wanaotajwa kwenye mjadala...naamini wa kwanza kabisa anayehitajika kupewa nafasi hiyo ya kutoa ufafanuzi ni aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume Mh. Jaji Sinde Joesph Warioba. This would probably make more sense, not Shivji.
Chadema mtu akitofautiana na nyinyi tu mnafiki
Kwema mkuu..huyo boss wala usijisumbe siki atakavyokuja..kwanza alivyoweka habari yake km vile anaamini kuwa Shivji kanyimwa haki ya kujitetea na akienda atafunika....km vile anaamaini atakwenda jisafisha na kuendelea na riwaya zake.......mbona bunge lilijadili sana Mapanki na skendo ya silaha na hawakumuita..?Pia Kagame hawakumuita ila walimsema sana..
Kwema mkuu..huyo boss wala usijisumbe siki atakavyokuja..kwanza alivyoweka habari yake km vile anaamini kuwa Shivji kanyimwa haki ya kujitetea na akienda atafunika....km vile anaamaini atakwenda jisafisha na kuendelea na riwaya zake.......mbona bunge lilijadili sana Mapanki na skendo ya silaha na hawakumuita..?Pia Kagame hawakumuita ila walimsema sana..
umemwona tena...wapo busy wanataka msafisha km walivyojitahidi kwa zitto ili aweze tumika..si unajua wamewekeza sana.Mbona warioba hawakuomba?teh teh teh, mkuu mi umenifumbua macho.
Njoo msikilize mbunge wenu anasemaje:
[h=1]Topic: Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu![/h]
SHIvji.km zitto, kitila mkumbo etc wanoongozwa na fikra za lumumba wanachagua upande mbaya sana wa historia...Mkuu UKAWA hawatakubari maana Prof Shivji alishatoa msimamo wake ktl group la maprof pale Chuo kikuu na akaelezea history ya muungano na kusema takwimu na hasara za serikali 3, akasema hata mataifa ya nje yatatushangaa hilo wazo tumelitoa wapi.