Shivji atema cheche kuhusu WEF

Shivji atema cheche kuhusu WEF

Msomi unakataa kujibu hoja? Halafu unataka kujilinganisha na Shivji! Kufundishwa na mtu si kumfahamu. Au alikushikisha mwaka? Hii biashara ya kumuita kila mtu mwenye rangi tofauti anayetukosoa, won,t fly anymore. Jibu hoja. Kama hauwezi, waachie wale walioenda shule na kuelimika wamkosoe Profesa. Mnatupotezea wakati.

Amandla......

Fundi, huyu jamaa anaonyesha jinsi alivyo na upeo finyu wa kuelewa mambo. Achana kujibizana naye naona zimefyatuka na hawa ndiyo wasomi wetu wa kutoka UDSM ambao wengi wao uwezo wao wa kuchanganua mambo ni mdogo sana.
 
kwani kuna nini wakuu hata muwatukane watu wote waliomaliza udsm kiasi hicho? wekeni wazi tatizo liko wapi hapa.
 
Shivji na wenzake bado wanalilia Ujamaa ambao umeshindwa na kila siku ni kulaumu tu badala ya kuja na solutions.

Kila kitu ubeberu tu huku yeye vitu vyote anavyotumia kufanya maandiko yako vimetoka kwa hao hao mabeberu.

Ningetegemea watu kama Shivji na usomi wao, watusaidie kuanzishe viwanda au mashamba makubwa makubwa ili Watanzania wapate ajira na kujitegemea.

Wao kila siku ni kubweka tu na kurudi nyumbani bila mawindo.
 
Mjibu Issa Shivji.

Unakubaliana au hukubaliani na alichosema?
 
nyerere hakukoswa kumshatapu huyu prof. akae sumbawanga miaka saba bila kutoka nje ya mkoa huo,....kifungo cha nje hicho kinaitwa. huyo prof hana jipya...ndo huyo aliyekuwa anaandamana sana akiwa na prof haroob othman aliyekufa wakiwalaani waisrael...ndo uyouyo aliyekuwa anasema hakuna Mungu kwa kuiga dini za warusi, alipoona aibu akakimbilia kwenye waislamia....atoke zake hapa. nafikiri wanauchumi humu ndani mnatakiwa kumsaidia kielimu na kimawazo uyo prof ili aelewe. mimi kanifundisha pale udsm miaka mingi iliyopita lakini, namfahamu vilivyo..
Acha kuongopea umma. Hilo suala la Sumbawanga ni visa vya mitaani. Halijawahi kumtokea Profesa. Rejea historia ya Nyerere na Tanzania.
 
Kabla ya kuendelea na mjadala ni vyema kuweka sawa baadhi ya mambo, mojawapo likiwa ni hili la Nyerere na Shivji - hebu turejee kwanza kisa hiki hapa chini kutoka kwa mkuu wa zamani wa TPH:

In 1972 I applied for a job as trainee General Manager of Tanzania Publishing House, the then only locally owned company in Tanzania involved in book publishing. I got the job and started in working there in August. At that time, TPH General Manager, an Englishman by the name of Robert Hutchison had made the decision to publish Issa Shivji's manuscript, "Silent Class Struggle in Tanzania". It was being edited. However, at a meeting of the Board of Directors in the conference room of the National Development Corporation (NDC) which took place soon after, the Chairman of the Board raised a question about the advisability of publishing the manuscript, stating that there was no class struggle in Tanzania, and that being silent, was further proof that there wasn't one. There ensued quite a discussion about this which led to the General Manager saying that if he was not allowed to publish the manuscript he would resign from his job.

As it was planned I should take over management of the company in the new year, the Chairman of the Board turned to me and asked what I thought about this discussion and what my position would be. I replied that I too would immediately leave since I had not properly began working. The Chairman told the meeting that he would seek State House clearance about this matter, and that the advice from there would decide whether the manuscript would or would not be published.

State House views were sought on the matter and Mwalimu's answer was to the effect that he was doing the job of being President and the General Manager of TPH should do the job of publishing. Silent Class Struggle was thus published, and we never had any interference from State House about what we published after. That was the best that a publisher in our type of situation could ask for. It was always difficult for publishers in other African countries to understand how we could be publishing such radical literature despite Tanzania's politics of one party state that also proclaimed socialism as its ideology.
 
Asante Companero. Wafitni wajifishe. Kwa wale wanaomlaumu Issa Shivji kuwa na mtazamo wa kushoto na kukataa kukumbatia Neo-liberalism, jibu ni kuwa hayuko peke yake. Wakina David Harvey, Naomi Klein, Paul Krugman n.k. wote wanapinga vikali mtazamo wa Neo-liberalism ambao wanaulaumu kuchangia kwa kiasi kikubwa economic melt-down iliyoikumba dunia hivi karibuni. Kutegemea wote twende lock-step kuukumbatia ukabaila, ubepari n.k. si kututendea haki. Wako amba tunaamini kuwa ubepari si panacea ya matatizo yetu. Kw watu kama sisi kutumia mabilioni kula kuku Mlimani City wakati wakina mama zetu wanakufa wakati wakijifungua kwa kukosa gloves, kunatia kichefuchefu. Maendeleo si Mlimani City. maendeleo ni pale mwananchi anayeishi kijijini Sumbawanga atakapokuwa na uhakika wa maisha bora; maji safi, elimu, huduma za afya, chakula bora na makazi bora. Sasa kama mfumo uliokuwepo unachangia kumzuia huyo mwananchi kupata yote hayo kwa nini tusiuite ni wa kibeberu?

Amandla.......

Amandla..........
 
kwani kuna nini wakuu hata muwatukane watu wote waliomaliza udsm kiasi hicho? wekeni wazi tatizo liko wapi hapa.

Tatizo ni pale mtu anapotumia usomi wake wa udsm au chuo kikuu kingine chochote kutaka kumnyanyasa mwingine. Si wote waliomaliza udsm wana tabia hii. La hasha, wengi wanajiheshimu na wanatumia vyema elimu waliyoipata chuoni hapo. Hao tunawashukuru na kuwaenzi. Mchango wao unathaminiwa sana. Ni hao samaki wachache ndio tuna matatizo nao.

Amandla......
 
Ningetegemea watu kama Shivji na usomi wao, watusaidie kuanzishe viwanda au mashamba makubwa makubwa ili Watanzania wapate ajira na kujitegemea.

Si mlibinafsisha viwanda na kuuziana mashamba kwa bei ya chee kwa kutumia unioliberali/ubepari au?
 
Shivji na wenzake bado wanalilia Ujamaa ambao umeshindwa na kila siku ni kulaumu tu badala ya kuja na solutions.

Kila kitu ubeberu tu huku yeye vitu vyote anavyotumia kufanya maandiko yako vimetoka kwa hao hao mabeberu.

Ningetegemea watu kama Shivji na usomi wao, watusaidie kuanzishe viwanda au mashamba makubwa makubwa ili Watanzania wapate ajira na kujitegemea.

Wao kila siku ni kubweka tu na kurudi nyumbani bila mawindo.

Waanzishe mashamba makubwa ili Watanzania waendelee kuwa 'manamba'! Kwa nini Watanzania wasishauriwe na kusaidiwa ili waweze kuungana, kuyamiliki na kuyalima mashamba hayo kwa faida ya wengi badala ya kuwa manamba kwenye shamba la mtu mmoja kama Shivji unayempendekeza. Naamini Shivji hangependa kuajiri Watanzania wenziwe kama 'manamba'.
 
Back
Top Bottom