Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,093
- 34,910
sintokosea nikisema hii ni Konyagi? then na vazi lenyeweee!!! Dah I stand to be corrected.
HUYU BIBIE ATAKUWA SIO MZIMA KIAKILI KAMA HAJA DUU miaka mingi !!!!!! KAMA NI ULAYA HAFAI KUTOA USHAHIDI MAHAKAMANI.
Uongo mwingine hauna hata mashiko...BTW huyo shishi ndo nani?
Hell no,6years unatafakali nini hicho?au ulimaanisha 6monthsInawezekana sana hasa unayempenda kwa dhoti na kumwamini anapokusaliti kwa namna ambayo ukutegemea. Hamu inapotea kabisa. Ukipenda rafiki unafanya mengi sio suala la kuDuu tu. ule muda wa kutafakari kilichotokea ndio unashtukia imepita miaka 6.