Shiriki Kuitangaza CHADEMA kila mahali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shiriki Kuitangaza CHADEMA kila mahali

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kimox Kimokole, Feb 18, 2012.

 1. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wapenzi na Wanchama shiriki kuitangaza CHADEMA kila mahali

  Pata Scarf za CDM kwa 8,000 na 10,000 kwa walio mikoani piga 0714 507507/0786 507507

  IMG_1161.jpg IMG_1166.jpg IMG_1170.jpg View attachment 47640
   
 2. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Chama kinapata mgao au ni kwa manufaa yako?
   
 3. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
 4. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CHADEMA twanga kotekote
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kapello vp? na vp mtu akitaka bendera apeperushe hata juu ya paa la nyumba yake?zinapatikana vp
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu, ungesema tunauza Scarf za Chadema nadhani ungeeleweka vizuri.

  Kwa hiyo kama una pesa ya Scarf itakuwa ngumu kushiriki.
   
 7. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  hiyo nimeipenda....na uzuri hii kitu itasaidia wajasiria wadogo wadogo kama huyo anayefuma hapo.....sio kama wale wenzetu wanaagiza makontena toka kwa wadosi!
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nipo sepuka singida vijijini nitaipataje?

  huku wanaulizia sana ikiwezekana funga mzigo uje nao huku.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Scarf huwa vinatumika sana wakati wa baridi hasa hizo zenye nyuzi nzito. Kwa hapa Dar soko lako litakuwa dogo inabidi ukaziuze mikoa yenye baridi ambayo mingine sijui kama kama wanaielewa hata hiyo CHADEMA unayotaka kuitangaza.
   
 10. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  sema kama unahitaji, piga namba ziko hapo
   
 11. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Weka oda utumiwe mzigo, malipo kwa tigopesa au airtel money
   
 12. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mikoa yenye baridi hapa nchini unaifahamu kweli? hii ya arusha,kilimanjaro, iringa na mbeya,sasa huko si ndo maskani kwa cdm,wewe utasemaje huku hawaijui cdm?Au na wewe matatizo yako yanafanana na ya huyu binti Mwanaasha?
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kumbe lengo ni kurudi humo humo maskani mwenu? sasa huku kwingine mtaanza lini na kwa style gani? maana scarf ni za maskani kwenu. Siku zote mnaambiwa jitahidini mjulikane nchi nzima hamtaki.
   
 14. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  watu kama hao wanaogopa CHADEMA inavyosambaa, maana hii itafanya watu waone fahari kwa chama lao na kuwavutia wengine
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Inapendeza sana mkuu...nitakutafuta!!
   
 16. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  baadaye kofi, khanga na mashatii
   
 17. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yale yale ya kanga, vitenge na kofia
   
 18. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  karibu mkuu kuinua wajasiriamali wadogo kwa kazi za mikono yao. Mimi nimejitolea kumtangazia hapa na nimenunua scarf nne, wengine wampe support ya kununua kazi yake
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Si useme unatangaza biashara mkuu!
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Si useme unatangaza biashara mkuu! Tunazijua namba za mawasiliano za wahusika wa chadema, hasa wanaohusika na inventory control. Wewe nani?
   
Loading...