Shiriki Kuitangaza CHADEMA kila mahali

Si useme unatangaza biashara mkuu! Tunazijua namba za mawasiliano za wahusika wa chadema, hasa wanaohusika na inventory control. Wewe nani?

Hivi mlalahoi anapoamua kutumia nguvu na muda wake kupata mkate wake wa kila siku na wakati huohuo kukitangaza chama kama hivi alivyofanya ni makosa. Kwa taarifa tu nimejitolea kumsaidia na nimenunua scarf nne kwake.
 
umeeleweka sasa mkuu. Unakitangaza chama, na huku unatangaza biashara yako big up meeen!!
 
Soma maelezo hayo hapo juu, sio biashara yangu ni ya huyo dada na naweza kusema alilifanyia kazi wazo hilo maana niliwahi kumwambia. Sifaidiki na chochote hapo umenisoma?
 
Mawazo ya Bigirita nimeyawasilisha kwa mfumaji amepunguza bei hadi 8,000 kwa walio Dar na 10,000 kwa watakaotumiwa mikoani
 
Kumbe lengo ni kurudi humo humo maskani mwenu? sasa huku kwingine mtaanza lini na kwa style gani? maana scarf ni za maskani kwenu. Siku zote mnaambiwa jitahidini mjulikane nchi nzima hamtaki.

huku kwingine wapi?be specific since you name yoursellf "i am a greater thinker"
 
hizo scarf zinauzwa na bei umetajiwa hapo,sasa sijui ni kwa nini utufananishe na m.a.g.a.mba wanaohonga au kugawa bure.

Mkuu democratic kuna watu vichwa maji sana, ningekuwa nahitaji bei kwa PM ingekuwa taabu zaidi, uzuri nimeweka hapo na hata marekebisho ya bei nimeweka pia, hii maana yake hakuna namna ya watu kuchakachua kama walivyo MAGAMBA.

CCM roho zinawauma sana CDM inaposonga hadi vichochoroni
 
Kipindi kama cha miaka 3 nyuma chama pinzani kikubwa kilikua C.U.F Leo mnakipaisha chadema????? mhhhhhhhh mi naona mnajihangaisha tuuu CHADEMA hakina maendeleo yoyote kitakacholeta zaidi wakiingia ni Ulaji tuu. Ni Bora mara milioni C.C.M maana maendeleo mingi wameleta. we fikiria mpaka now Mna BBM mnataka nini tena. fikiria kitu hata Ulaya hakijaenea bongo kishafika kwa mfano 3D TVs ila mkiwa hapo hamuoni km kuna maendeleo mpaka muwe hampo ndani ya nchi. Ulizeni ndugu zenu wa ulaya wakija wanavyoona kulivyobadilika. acheni ujinga chadema haitaleta maendeleo km mnavyodhani . mungu peke ake ndio anaweza kulete maendeleo hata ikibaki hio ccm. cha muhimu ni kuomba dua tuu kuwe na amani.
 
Back
Top Bottom