Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

Kwa sasa (Machi 2025), Mradi wa JNHPP unazalisha jumla ya Megawati 1880 ambazo zimeongezwa kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa. Baada ya mashine zote tisa kukamilika, inatarajiwa kuzalisha umeme kiwango cha Megawati 2115 kwenye Gridi ya Taifa ifikapo mwezi Mei 2025 ambapo mradi wote utakuwa umekamilika.
 

Attachments

  • FB_IMG_1743511911287.jpg
    FB_IMG_1743511911287.jpg
    79.2 KB · Views: 24
Back
Top Bottom