JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,112
- 3,536
karibuni tubadilishane mawazo wanabodi.
kweli kila zama na kitabu chake! Huwezi amini pamoja na mambo mazuri ya Rais Magufuli,mambo mengine hususan teuzi anazo fanya zina shangaza.kwanini? angalia mifano ifuatayo.
Mkurugenzi mpya wa TBC ameteuliwa bwana AYOUB RYOBA, ni mtu mwenye ujuzi wa kutosha katika hii fani lakini ametoka nje kabisa ya shirika la utangazaji TBC. Binafsi najiuliza hivi shirika kubwa kama hili amekosa mtu mahiri wa kumpandisha awe mkurugenzi? kama ni kweli hajamuona mtu hata mmoja wa kuwa MKURUGENZI basi lazima kuna shida mahali.
Angalia uteuzi wa mkurugenzi mpya wa NSSF, nae anatoka nje kabisa ya shirika lenyewe!! Hivi kwa shirika kubwa kama hili amekosa mtu wa kumpromote ili awe mkurugenzi?Mkurugenzi mtendaji anakuwa mtu mgeni kabisa ndani ya shirika yaani hamjui hata mfanyakazi hata mmoja halafu utegemee tija! kwanza mtindo huu wa uteuzi unakatisha tamaa wafanyakazi wengine walio litumikia kwa muda mrefu tena kwa kujituma halafu unawaletea mtu ambaye ataanza kujifunza kila kitu kwa haohao ulio waona hawafai kuteuliwa!
Uongozi ni kipaji lakini siku hizi inaonaonekana bila kuwa na PHD huwezi kuongoza shirika hata kama umebobea namna gani.
Kwa aina hii ya teuzi ipo siku team captain wa Yanga atakuwa professor au Doctor nani sijui maana tumeanza kuamini kuwa hao ndio kila kitu.