Shipping to NEW ZEALAND

Shipping to NEW ZEALAND

Abdistar

Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
39
Reaction score
26
Habari Wakuu,

Samahani mwenye kujua Taratibu za kutuma mzigo nje ya nchi kama vile NEW ZEALAND sababu nimeenda posta gharama zao ziko juu kama kuna njia nyingine mnijulishe
 
NEW ZEALAND sababu nimeenda posta gharama zao ziko juu kama kuna njia nyingine mnijulishe
Ni kweli gharama ziko juu.

Na hakuna mbadala.

Uamuzi ni wako utumie Posta/EMS au DHL au kampuni nyingine ya usafirishaji.

Ila hakuna unafuu katika gharama.
 
Habari Wakuu
Samahani mwenye kujua Taratibu za kutuma mzigo nje ya nchi kama vile NEW ZEALAND sababu nimeenda posta gharama zao ziko juu kama kuna njia nyingine mnijulishe
Posta ndiyo bei chei waliobaki kama DHL, UPS, na wengine utazimia maana gharama imaweza kuwq hata mara 6
 
mzigo wako una kilo ngap nature ya mzigo call me 065247286 na je unataka mzigo utumwe impoter alipie ushuru au unalipa ushuru mwenyewe nipigie nikusaidie maana kamouni yetu inaweza kutuma mzigo kokote dunian haya makampuni ya kibeberu yana bei sana
 
Mbona namba hazijatimia

Back
Top Bottom