Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,170
Nimekutana na hizi nyumba zilizojengwa kwa shipping containers nimezipenda sana.
Very simple and clean design, contemporary houses. Na hata kama sio kwa ajili ya nyumba nadhani inafaa kitu kama a small coffee au chilling area. Kwa anayefahamu bei ya shipping containers kubwa naomba anitajie bei tafadhali na wapi zinaweza patikana Tanzania.
Nadhani tatizo kubwa ni cooling, kwa joto la bongo inaweza kua a huge mess to cool this structure.