YoyoTheDeveloper
Member
- Oct 9, 2021
- 37
- 44
Kuwa specific, je ni njia ipi ya usafirishaji unataka itumike, Maji au AngaMwenye uzoefu wowote kuhusu kampuni tajwa hapo, naomba msaada..
Natanguliza Shukrani zAngu.
MajiKuwa specific, je ni njia ipi ya usafirishaji unataka itumike, Maji au Anga
Swala la muda wote wanalingana, Hapo chagua kampuni yenye huduma bora kwa mteja pindi unapo wasiliana nao unapokuwa na shida ni yupi anajibu kwa haraka na hakika. Ila swala la mzigo kufika kwa wakati ni Changamoto kwa kampuni zote.Maji
| Pitia na hii thread: Current situation at the port of Dar es Salaam heavy traffick of vessels
nimeenda instagram yao nimeona watu wawili wanalalamika hawatoi updates yoyote kwa mteja kuhusu mzigo wake. cm hawapokeiWajaribu GNM ila hata mizigo iwahi kufika, ucheleweshaji wa mizigo mara nyingi unafanyika bandarini
Wajaribu silent wao wana app yao inakuonyesha mpk mzigo wako ulipo mpk unapofika, kuna group la wateja WhatsApp.nimeenda instagram yao nimeona watu wawili wanalalamika hawatoi updates yoyote kwa mteja kuhusu mzigo wake. cm hawapokei
AsanteSilence ocean hashindwi kitu yule🤣🤣🤣
Simba wa bahari.....ukisikia mtoto wa mjini ndio huyu
Narecommend silence ocean
naa kuna mteja amecomment kwamba GNM walivunja mzigo wakeWajaribu GNM ila hata mizigo iwahi kufika, ucheleweshaji wa mizigo mara nyingi unafanyika bandarini
Tumia TULIP IMPORT AND EXPORT Wako vizuri Mimi ni wakala wake hapa Tanzania nitafute Kwa namba hii +2Habari zenu wana JF,
Katika kufuatilia nyuzi kadhaa kuhusu shipping agents kwa meli kutoka China kuja Tanzania, Nimekutana na Silent Ocean, Shamwaa na Mapembelo Cargo.
Which one should i go for?
- Wapo wanaosema silent ocean wako vizuri na wako fasta, wapo wanaosema Silent ocean ni wacheleweshaji sana.
- Wapo wanaosema Shamwaa wako vizuri sana, wapo pia wanaosema Shamwaa Hawapo vizuri.
-Wapo wanaosema Mapembelo Cargo wako vizuri ( hawa sijaona negative comment kutoka kwa watu )
Mwenye uzoefu wowote kuhusu kampuni tajwa hapo, naomba msaada..
Natanguliza Shukrani zAngu.
Kuna kipindi nilitaka kufanya shipping ya mzigo kutoka China kupitia kwa hawa SO lakini walikatisha tamaa, nilijaribu kupiga simu za wawakirishi wao China simu zinaita hazipokelewi nikapiga simu Dar na kuwaeleza nao hawakuwa na msaada zaidi ya kusema endelea kujaribu tu watapokea. Nikaona uswahili nikaachana na hiyo biashara.Habari zenu wana JF,
Katika kufuatilia nyuzi kadhaa kuhusu shipping agents kwa meli kutoka China kuja Tanzania, Nimekutana na Silent Ocean, Shamwaa na Mapembelo Cargo.
Which one should i go for?
- Wapo wanaosema silent ocean wako vizuri na wako fasta, wapo wanaosema Silent ocean ni wacheleweshaji sana.
- Wapo wanaosema Shamwaa wako vizuri sana, wapo pia wanaosema Shamwaa Hawapo vizuri.
-Wapo wanaosema Mapembelo Cargo wako vizuri ( hawa sijaona negative comment kutoka kwa watu )
Mwenye uzoefu wowote kuhusu kampuni tajwa hapo, naomba msaada..
Natanguliza Shukrani zAngu.
Mwalimu siwezi kusafirisha na nikapokea na kumalizana mwenywe Airport na tra?Kuwa specific, je ni njia ipi ya usafirishaji unataka itumike, Maji au Anga
Unaweza iwapo tu umesajiri kampuni yako binafsi inayohusika na clearing services kwa mizigo yako. Maana hili ni hitaji la kisheria.mwenywe Airport na tra?