Shinyanga: Wananchi wachinja na kugawana nyama ya fisi aliyekuwa akizurura Kata ya Ngokolo

Bado uko mulemule kwani wakisema wanna njaa Wana maanisha nini !
 
Fisi kuonekana shinyanga mbona ni Jambo la kawaida Sana sema huyo walimuhusisha na mabo yao ya kiimani sio kwa ujasiri huo
Interesting!
 
Kama simba mwenyewe anagwaya kula nyama ya fisi, binadamu wanagombania fisi kweli? hao watu kwa kweli wamebobea kwenye ushirikina..
 
Kama simba mwenyewe anagwaya kula nyama ya fisi, binadamu wanagombania fisi kweli? hao watu kwa kweli wamebobea kwenye ushirikina..
Mkuu wacha kuongopa!

Haujaangalia chanel za wanyama kama Natgeo nk, fisi kwa simba ni 'sambusa'.

Analiwa hadi anaisha huku akipiga kelele za vitisho zisizomsaidia!

Simba naye akikaa vibaya analiwa na mbwa mwitu.

Mbwa mwitu akiingia kwenye anga za fisi, anafyagiliwa huku akibweka.

Hakuna aliye salama.

Nilidhania tembo hawezekani, kumbe kwa simba ni mswaki!

Mambo ya porini yaacheni jamani nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Documentary 1 niliiona simba walikua watatu na wana njaa hatari mpk wamekonda,wakamuua Fisi wakaanza kumla ila simba mmoja na njaa yake aligoma kabisa kumla yule fisi akabaki na njaa yake tu(wanasema nyama ya fisi inanuka).

dodge
 
ndipo mmoja wa wananchi hao akampiga jiwe huyo fisi akaanguka. Jamaa aliyempiga jiwe akakata mguu wa mbele wenye hirizi, akaondoka zake... Aliyeondoka na matumbo nampa pole sana... Akamakinike na nyongo

Jr
 
Mbona wanyika wanakula paka kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hiyo yote inaakisi wimbi la umasikini walilonalo jamii hiyo.

Watu wenye uwezo wa kwenda buchani kununua kilo 3@7,000 hawezi kujihusisha na kula nyama ya paka isiyozidi kilo 1.
Mkuu hali ya Umaskini Nchini imeongezeka sana awamu hii
 
Hawana tofauti na wakanyanga mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kudanganya watu,nyie vijana wa mitandaoni mnashida sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaona nasema uongo kuongea kuhusu hali ya umaskini Nchini?

Kama mtu nyama anakula Christmas hadi Christmas tena nusu kilo tu kutokana na umasikini utasema naongea uongo?

Kama Mjomba wako ungeweza kumudu kumtumia hela ya nyama angalau kilo 50 tu kwa mwaka asingehangaika kula hiyo nyama ya Fisi.
Hiyo yote inasadifu lundo la umasikini lilivyoshamiri kwenye jamii ya Watanzania.
 
Ubisy wa watu kwenye video hii ni kama like sakata la kuchomoa betrii Pale Msamvu. Hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…