Shinyanga: Mume mbaroni kwa akituhumiwa kumuua aliyemfumania na mke wake

Sasa hapo yeye kuwa gerezani huyo mkewe ndiyo ataliwa freely na atahakikisha anagawa kijiji kizima mpaka na kwa ndugu wa huyo jamaa, kwanini asingemuacha tu na kuchukua mwingine wakati wanawake wapo kibao.
Hasira za mkizi hivyo atanyea ndoo kwa miaka kadhaa, angefiri kwanza asingefanya ujinga ule.
Japo sikubaliani na mambo ya kugonga wake za watu lakini kuua au kupigana kwa ajili ya mkeo ambaye amemvulia mtu kwa mahaba yake mwenyewe ni upumbavu wa hali ya juu.
Ni kweli, wakati fulani ni muhimu kufikiri kabla. Sasa kama mke hakubakwa, alivua chupi mwenyewe kulikuwa na haja gani kumwua mgoni wake? Angechagua moja, ama kumrudisha nyumbani mkewe au kuachana naye na kuanza upya. Sasa unafungwa jela kwaajili ya mwanamke, upuuzi mtupu na wendawazimu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Nadhani kwa wao huwa wanaangalia wanaacha funzo gani katika jamiii.
Wala sio hilo kuogopa kifungo ni jamii za watu wasio na hofu ya kuwaua wajinga kama hao.
Kule ukifumaniwa hasa kanda ya ziwa karibu yote unaweza kuuwawa na watu wanakuangalia
Hizo hofu za kwamba uache uowe mwingine na tayari mmeishaleta watoto kibao ni hofu za baadhi ya makabila ya huko ukanda wenu mnaoendekeza na kuupigia makofi uzinzi.
Sasa hata kama amemuua mgoni wake, kisha itokee mahakama imwache huru je atamrejea mkewe? Watoto je? Nafikiri solution siyo kuua ni kujitenga naye.
 
Huu ni uzembe watu wawili wanapigwaje na mtu mmoja hadi mwingine anafariki na mwingine analazwa hospitali. Kabla ya kutembea na mke wa mtu lazima ufanye reseach ya kumjua mume wake na kujipima una uwezo wa kucompete naye iwapo atakufumania? Sio unaingia kichwa kichwa tu.
"The guilty are always worried" mkuu, usishangae yeye kuweza kuwatandika mpaka kumwua mmoja. Kwanini usijiulize inawezekanaje wafungwa zaidi ya kumi kumilikiwa na askari magereza mmoja asiye hata na silaha
 
Ni kweli, wakati fulani ni muhimu kufikiri kabla. Sasa kama mke hakubakwa, alivua chupi mwenyewe kulikuwa na haja gani kumwua mgoni wake? Angechagua moja, ama kumrudisha nyumbani mkewe au kuachana naye na kuanza upya. Sasa unafungwa jela kwaajili ya mwanamke, upuuzi mtupu na wendawazimu.
Exactly, yaani ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Mkazi wa Mhunze wilayani Kishapu mkoani Shinyanga Rafael Martine (34) anashikililiwa na Jeshi la polisi kwa Tuhuma ya kumuua Shija Mahoiga (45) mkazi wa kijiji cha Igaga kwa kutumia kipande cha chuma baada ya kumfumania akiwa amelala na mkewe.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga (ACP) Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo limetokea june 21 majira saa tatu usiku nyumbani kwa Marehemu ambapo Rafael anatuhumumiwa kumshabulia kwa kumpika katika sehemu mbalimbali na kusababisha kifo.

Amefafanua kuwa chanzo cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi ambapo Rafaeli alivunja Mlango nyumba ya marehemu na kuanza kuwashambulia wawili hao hadi kusababisha kifo cha Marehemu huku mkewe aliyefahamika kwa jina la Maria Shija akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya kishapu kwa matibabu.

Kamanda Abwao ametoa wito kwa watu mkoani humo kutojichukulia sheria mkononi kwa kuheshimu sheria za nchi na na baada ya upelelezi mtuhumiwa atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.
me huwa nasema kila siku watu serikali iweke sheria ambayo inakuwa inadeal na haya mambo mtu akikutwa na mke wa mtu hata miaka kumi jela...ila hivi hivi watu watazidi kufa na kwenda jela halafu mwanamke anaendelea kutafunwa na washkaji,,,maana kosa sio lamshkaji ni la mwanmke na utaona wanawake wanafurahia mshkaji kwenda jela
 
Back
Top Bottom