Rudi kwenye kudesa upya mkuu,Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Pesa Tabora ni Urambo na Kaliua hizo nyingine zinafuatia,pitia tu takwimu za halmashauri husika uone makusanyo ya Ndani
Vyote umeongea point kasoro udini.
Acheni vitu hivi, hivi unaushihidi gani kuwa kudorora kwa maendeleo sehemu huchangiwa na uislam?
Acha ujinga mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ungejibu hoja kwa hoja badala ya kupanic. Mimi miji miwili yote nimeishi na ninachokizungumza nina uhakika nacho. Ule mji wa Tabora unafaa kuishi wafanyakazi siyo wafanyabiashara. Sasa ni hiari yako kukubali au uendelee kuamini unachoamini.Hadithi za kufikirika,eti roho ya umaskini...nyie ndo mnaua albino..kwamba Tabora hakuna makazi yenye hadhi kama huko kwingine na kama yapo wanaojenga wametoa wapi pesa?
Kahama haizalishi chakula kwa kiwango unachotaka kusema hapa.
80% ya karanga zinazopatikana Kahama zinazalishwa Tabora na soko kubwa la Karanga za Tabora ni kahama.
Zao kubwa kahama inalozalisha ni Mpunga tu sasa utasemaje kuwa wanategemewa na Shinyanga ?
Mahindi unayoyaona sokoni hapo kahama yanatoka Tabora katika wilaya za Uyui, Kaliua na Urambo.
Kimsingi bila Tabora Shinyanga inaweza kuteketea kwa njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhama ndugu yangu hakukwepeki kwa sababu idadi ya watu inaongezeka lakini ardhi haiongezeki, na Tabora, Shinyanga, Mwanza, Geita na Simiyu ni mikoa ndugu, hivyo akihama Simiyu akaenda Tabora ni kwamba yupo nyumbani tu wala hajawa mkimbizi bali ni kwao na mila na desturi zinafanana.
Siyo wanataka kumeza. Sasa hivi Katavi ni SukumalandWapewe elimu aisee ni janga la Kitaifa kwanza wanazaa jumamosi na jumapili. Niwengi mpaka wanataka kumeza mkoa wa Katavi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shinyanga pa hovyo zaidi kuhusu msos..sijui kwanini jamani...unamweleza boda nipeleke sehem nzuri ya kula anakubwaga kwa mama ntilie[emoji1784][emoji1784]
Sema we we huo ukweli!
wewe noma sana mkuuVichaa wengi huja kwa usafiri wa treni mkuu maana Tabora inahudumia karibia mikoa yote ya magharibi na Mwanza na mara hivyo Vichaa hupanda tu kwenye trains basi hujikuta wapo Tabora, na kwakuwa Tabora gari moshi huchelewa sana kuondoka (kwani hapa hufanyika kwanza shanting) hivyo abiria hulazimika kushuka kwanza na ndipo hapo hata vichaa hushuka na kuanza kulandalanda huku na huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujitekenya Bariadi panapanuka lakini siyo kwa kasi unayotaka tuamini. Hata Geita tu Bariadi haioni ndani.Kahama ni habari nyingine, kwa mzunguko wa hela na per capital ni pakubwa kuliko wilaya nyinginza tanzania na pengine baadhi ya mikoa kama singida, rukwa, lindi na shintanga nyenyewe.
Ukiondoa Kahama, kwa ukanda huo, bariadi panaweza kufuatia, napo ni sabahu pamekuwa makao makuu ya mkoa, then Igunga, igunga inakua kwa kasi sana.
Ukuaji wa Nzega ni mdogo sana,
Maswa na Meatu wako nyuma sana, na kunakua taratibu sana,labda lami ya maswa bariadi ikiisha itaweka chachu ya maswa kukua, lakini hata hivyo panahitaji miaka mingi sana, kwa sababu Bariadi itaendelea kuimeza Maswa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu wanalala mapema,saa moja unusu,kuondoa stendi pale mjini Kati kumechangia kuua mji wa shinyanga ,hakunaga Tena amsha amsha Kama zamani,
Ning'hwa dam aka chibe miaka ya 90 tumevua sana Hapo mafishShinyanga mjini hovyo sana.
Hata ukitaka breakfast hakuna sehemu insyoeleweka ukanywa chai uka enjoy.
Chakula cha uhakika ni mchana tu tena sehemu moja tu ambayo wakati mwingine pia wanapika vibaya tu.
Ni sehemu ambayo bara bara ni chafu zimejaa udongo ijapokuwa ni za lami.
Usafiri wa tax ni wa shida,wafanya biashara hii wana nyodo na waongo.Unakubaliana nae unaamka mapema kuwahi basi,ikinyesha mvua tu anazima simu.
Biashara ni ngumu sana shinyanga,nadhani ni sehemu mojawapo ngumu Tanzania.
Maji ya ziwa yapo ila wanachanganya na maji ya bwawa chafu sana la ning"hwa na kuyafanya yawe ya chumvi na mabaya sana.
Bora Tabora sana utapata hata bookshop ya kueleweka,library nzuri,taasisi za mafunzo zinazoeleweka,na bara bara safi zisizo na mchanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mbona wanyamwezi wana hulka tofauti sana na wasukuma?Wasukuma na Wanyamwezi ni ndugu na wanaongea lugha moja
Sio watani
Watani zao watu wa pwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahama ni wilaya ya Shinyanga.
Hulka ya wanyamwezi ni ipi na wasukuma ni ipi?Ila mbona wanyamwezi wana hulka tofauti sana na wasukuma?
Acheni uongo nyie watu....yaani bariadi na maswa iimeze shy...una akili kweli wewe.Well said,Shy ina hasara imeshamezwa na Mwanza,Kahama na Bariadi/Maswa yaani kitu pekee wamebaki nacho ni ardhi tambarare ya viwanda
So kumbe pop ya tbr > shy...Sasa kwa nini useme shy ardhi ni ghali sababu ya population?Kwanza utambue kuwa Tabora ni mji mkubwa sana kuulinganisha na Shinyanga tu hivyo population ya mjini ni automatically itakuwa kubwa kulinganisha na Shinyanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hata nami napenda kula vizuri... Tupo jahazi moja ucjali.Mie napend kula vzr ..sio just kula tu..ww hupendi kula??
Si kweli... Hata mwanza ukitoa manispaa zinazounda jiji viwanja ni cheap sana... Shy imepakana na kina kwimba na misungwi tu... Pwani viwanja si ghali pamoja na kupakana na Dar es salaam.