unaweza kuendesha??
unaweza kuendesha??
hongerayap naweza kuendesha............
hongera
niruhusu mi nikupakize lovito!!asante........ ila sipendi mtu anipakize
Vidhuli thana thana ...!!!
ha ha ha ha..., sio bodaboda bhana, ni usafiri wa wnafunzi huo. hapo si shuleni ndugu. wanakujaga na baisikeli zao huko shy. hawataki ushenz wa kurumbana na makonda.
kanaitwa korandoto..Hivi ni ka shule gani haka wanakujaga na baisikeli?
hata unaweza kunibeba!!?yap naweza kuendesha............
hata unaweza kunibeba!!?