Shinyanga: Kada wa CHADEMA akamatwa na polisi!

Shinyanga: Kada wa CHADEMA akamatwa na polisi!

150419_355026611263437_1951252696_n.jpg

Mlianza kutembea na sumu mfukoni na sasa mnatembea na vidumu vya tindikali
Umesoma contents au ndo mambo ya stereotype?


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nonesense!

Why do u have answere kila sumu ikitajwa. Just ignore hayo maneno, ama itaonyesha kama vile pana ka ukweli, na kumbe uko innocent. hizi tuhuma za sumu hazina base yoyote, ni kama hizo tuhuma nyigine za pembe za ndovu na kinana ambazo hazina msingi. Zote hizi ni part of character assasination
 
hatutarijii tofauti na hii coment yako, maana hata wewe mwenyewe ni mtuhumiwa. just a matter of time. hamuwezi kuachiwa mkitanua na kudhuru watu tu kama vile nchi haina utawala wa sheria.

Watuhumiwa katika muktadha wenu tuko wengi tu..watumishi wa Umma tunaoiunga CDM....ni watuhumiwa, wana cdm wote ni watuhumiwa.....!! Ni kweli it is just a matter of time! Kuna siku mtajibu tu uharamia wenu mnaofanyia watu, utajibu wewe, Kikwete, Riz1 mafisadi wote UWT n.k..amini usiamni hamtaamini! Gamba we!
 
QUOTE=IGUDUNG'WA;6137463]duuuuh hivi policcm wamepania kuimaliza chadema eeeh??? Tunamtaka Mwigulu Nchemba nae afikishwe mahakamani[/QUOTE]

Nayaona machafuko live! Huku viongozi wa dini "fulani" wamewakusanya waumini wao (kwa baraka ya serikali) wakiwaambia Wakristo ni maadui, huku ccm wakishirikiana na mbwa wao wakinyanyasa maraiaa! Duh!
 
Last edited by a moderator:
tutakuja kukupekua na wewe na slaa nyie ndio manufacture wa sumu na tindikal hao tulianza nao ni madistributers tu.kee waiting dogo ben na jua umeshatajwa na wenzako

Yale yale! Akili ndogo!
 
Wale vijana waliowekwa kambini na Mwigulu, kisha mmoja wao akajichomoa akaenda kueleza mipango ya kambi hile CDM, mbona hawakamatwi. Hii ni sawa na hadihi ya mfa maji haishi kutapatapa! CCM miaka yao inahesabika! Pigo la mwisho ni 2015.
 
hivi yule aliyemchinja kada wa chadema arumeru akatoroka mahakamani kwa kutoka speed kali alishakamatwa au?
 
Asante Lwakatare ushirikiano wako na jeshi la polisi unazaa matunda. Nasubiri mchoro wa Morogoro kwa hamu.

bila kusahau wa iringa, waàrusha na wa huko Mara...
 
hivi yule aliyemchinja kada wa chadema arumeru akatoroka mahakamani kwa kutoka speed kali alishakamatwa au?

hajakamatwa alikuwa nipamoja na mwenyekiti wa ccm kata ya usa-river...
 
Why do u have answere kila sumu ikitajwa. Just ignore hayo maneno, ama itaonyesha kama vile pana ka ukweli, na kumbe uko innocent. hizi tuhuma za sumu hazina base yoyote, ni kama hizo tuhuma nyigine za pembe za ndovu na kinana ambazo hazina msingi. Zote hizi ni part of character assasination

kwa hiyo pembe za ndovu mna zilinganisha na salakasi mnazozifanya sasa hivi..pembezilikamatwa hong kong kwenye meli ya katibu mkuu wa magamba na watuhumiwa karibu wote ni marafiki
 
kumbe huondio usalama mnao sema uko imara zaid ya wa taifa,haya matukio yameanza baada ya cdm kuwa na usalama wao na kuendelea kutafuta wanao wapinga,mlianza na ulimboka alivyo kataa kundelea na mgomo.zitto alipotaka urais na kibanda alipo ondoka

mwenzio ritz kashakimbia jf sababu anaona aibu jinsi magamba mnavyohangaika kubambika kesi zinazopikwa na zoka ikulu.
 
Asante Lwakatare ushirikiano wako na jeshi la polisi unazaa matunda. Nasubiri mchoro wa Morogoro kwa hamu.

Usisahau kusubiri mchoro wa mauji ya Mwangosi pale Nyororo, Iringa.
 
user-online.png
bungeni
Today 06:20
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 8th April 2013
Posts : 422
Rep Power : 386
Likes Received43
Likes Given22

- unalipwa sh. ngapi kwa kila post, sababu naona umejitahidi sana na una malengo ya juu kweli...
 
Nina wasiwasi na huu mchongo mbona wahaya tuu na wakati CHADEMA ni chama cha Wachagga kama Mwigulu anavyotuambia hapa jamvini
 
Kinachonishangaza mbona wanaokamatwa wote ni WAHAYA from Kagera, naanza kupata wasiswasi na njama hizi, kuanzia kwa Lwakatare, ludovick, kada wa shinyanga naye Mhaya, yule aliyekamtwa bukoba naye mhaya.wanaJF tusiache ipite hivi hivi lazima maswali magumu tujiulize kujiridhisha.
 
Back
Top Bottom