Shinyanga: Kada wa CHADEMA akamatwa na polisi!

Shinyanga: Kada wa CHADEMA akamatwa na polisi!

Afungwe maisha huyo gaidi

Hata kama ni fedha unazolipwa na Nape ebu jaribu kutumia akili kidogo tu. Sheria ipi inamtuhumu kwa ugaidi?
Ebu fikiria kama angekuwa ndugu yako au wewe. Usidhani CCM unayoishabikia itadumu kwenye utawala miaka yote... try to learn from Gadafi, Zambia, Misri na nchi nyingi chama kinaposhindwa. Try to be safe for your own future and your kids. Kuwa na siasa za kistaarabu kidogo. Ninakufahamu vizuri and try to be yourself.
Ushabiki mwingine hauna maana//// huyo ni mtuhumiwa tu au umesha kuwa DPP kujua kuwa atashitakiwa kwa ugaidi? Use just common sense!!
 
Unajua maana ya ugaidi? au huko ndio kujenga hoja....nani ameuawa na huyo jamaa?
Akili za Shonza zinaongoza akili zako....you are more than a f........!

Punguza hasira kidogo mkuu dawa iingie vizuri....kumbe unajuajua kiingereza ee...ilianza na tindikali igunga, ikaja sumu hotelini na sasa ni ugaidi rasmi....look at u
 
Hata kama ni fedha unazolipwa na Nape ebu jaribu kutumia akili kidogo tu. Sheria ipi inamtuhumu kwa ugaidi?
Ebu fikiria kama angekuwa ndugu yako au wewe. Usidhani CCM unayoishabikia itadumu kwenye utawala miaka yote... try to learn from Gadafi, Zambia, Misri na nchi nyingi chama kinaposhindwa. Try to be safe for your own future and your kids. Kuwa na siasa za kistaarabu kidogo. Ninakufahamu vizuri and try to be yourself.
Ushabiki mwingine hauna maana//// huyo ni mtuhumiwa tu au umesha kuwa DPP kujua kuwa atashitakiwa kwa ugaidi? Use just common sense!!

Hebu na wewe fikiria musa tesha aliyemwagiwa tindikali na huyu muuaji angekuwa ndio ww au ndugu yako...au ni mkuki kwa nguruwe mkuu
 
Wenye akili za kushikiwa mmebaki wachache sana...by the way keep it up!

wewe ndo mwenye akili za kushikiwa kama hata kitu kidogo kama hiki huwezi elewe.
alikuja na gari yake. halafu wakati wakurudi akajifanya eti anafanana nasi, na lile gari lake likarudi bila yeye na kwenda kusuburia kituoni. sasa ameserve nini, kama mafuta na garama ni zilezile zilizotumika na isingeleta tofauti hata kama angeenda na gari lake. na rudia tena. ni kutafuta umaarufu tu hana lolote.
 
Back
Top Bottom