Shinyanga: Kada wa CHADEMA akamatwa na polisi!

Shinyanga: Kada wa CHADEMA akamatwa na polisi!

user-online.png
bungeni
Today 06:20
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 8th April 2013
Posts : 422
Rep Power : 386
Likes Received43
Likes Given22

- unalipwa sh. ngapi kwa kila post, sababu naona umejitahidi sana na una malengo ya juu kweli...

Hujui ajira ikiwa mpya na juhudi inaongezeka, tulianza na kina Zombe, Ritz, Kimkadashian naona wamezoea kazi dogo anajituma sana mwache atapita tu
 
Je,na wale waliomuua kijana Nassoro,hapohapo Igunga waliishakamatwa?maana ilikuwa katika mazingira hayo hayo ya kampeni za Igunga,wauaji hao walikwisha kamatwa?Alikuwa anatokea Dar es Salaam.
 
Afungwe maisha huyo gaidi

Hata kama tunaweza kuandika kwa utani basi tufikirie pia ubindamu.Iweke hivi huyu hamjui hata huyo mtu aliyemwagiwa tindikali,na hajafanya hata hilo tendo akaenda kupewa adhabu ya mtu aliyetenda na sababu za kumbambikizia kesi ni kosa la kuwa chama tofauti na chama tawala.Imagine mtu huyu ni rafiki yako,jamaa yako wa karibu au ndugu yako kwa hali ya kawaida utajisikiaje halafu humu umebandika sentensi hii.Kuna watu wengi ni waathirika wa utawala huu,kwa kisingizio cha uhujumu uchumi.

Kushabikia kitu usichokijua,na kuhukumu mtu usiyena uhakika kama amekosa ni dhambi kubwa sana.
 
user-online.png
bungeni
Today 06:20
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 8th April 2013
Posts : 422
Rep Power : 386
Likes Received43
Likes Given22

- unalipwa sh. ngapi kwa kila post, sababu naona umejitahidi sana na una malengo ya juu kweli...

siongei na ...... naongea na mwenye.............
 
hatutarijii tofauti na hii coment yako, maana hata wewe mwenyewe ni mtuhumiwa. just a matter of time. hamuwezi kuachiwa mkitanua na kudhuru watu tu kama vile nchi haina utawala wa sheria.

Mko wengi? Utawala wa ukandamizaaji ndio utawala wa sheria kwako. Tafuta elimu ikusaidie siyo isaide CCM.
 
Watanzania wanatakiwa kujua kwamba utawala DHALIMU mahali popote duniani haujwahi kushinda. Wako wapi kina Hitler,Idd Amin,Bokassa,Saadamu and the likes!????Hizi zote ni framed cases against CHADEMA!!!Hakuna kesi ya ukweli hata moja yenye ukweli kuhusu kamata kamata hii!

Watanzania wanapaswa kujua kwamba hii kamata kamata ni mpango maalumu ulioratibiwa na Serikali ya CCM ikiwatumia PoliCCM,TISS na Viongozi wa CCM ili kuimaliza/kuiua CHADEMA. Tatizo la Watanzania ni uwepesi wa kusahau na Uvivu wa kufikirisha Bongo zetu. Tukumbushane tu kwamba kabla ya kamatakamata hii kuna Viongozi wa CCM waliwahi kutoa matamko kama ifuatavyo:

  1. Mwigulu Nchembe: NINA VIDEO YA VIONGOZI WA CHADEMA WAKIPANGA MAUAJI YA WATU..................!
  2. Nnepi Naye: NIKITAFAKARI KUTEKWA KWA KIBANDA NA KUACHA KAZI FREEMEDIA NAPATA WASIWASI.......!
  3. Steven Wassira: CHAMA CHA CHADEMA TUNAKIPA MIAKA 2 TU KITAKUWA KIMEKUFA NA KUSAHAULIK......!
Kwa mtu yeyote makini anaweza kuunganisha hizi dots na kupata picha kamili wa mpango huu kabambe wa kutaka kuimaliza CHADEMA.

CCM kama Chama Cha Mafisadi wanajua their days are numbered. Wanaona tishio la CHADEMA kuchukua nchi hapo 2015 chini ya Katiba mpya. CCM wanajua wazi kabisa kuwa mwaka 2015 hawatakuwa na ubavu wa kuingia Ikulu hata kama ni kwa kuroga!

Majeraha na maumivu waliyoyapata CCM kutoka CHADEMA baada ya Uchaguzi wa 2010 bado yanawatesa na mpaka sasa kwa hiyo wana hasira na CDM. Kwa maana hiyo CCM wameamua kutumia mbinu chafu za kutaka kukiua na kukisambaratisha chama cha CDM kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015. Huo ndiyo mpango.

Nimalize kwa kusema kwamba CCM wanajisumbua bure. Wakamwulize Daniel Arap Moi wa Kenya yuko wapi na KANU yake???Changes in Tanzania is now inevitable!!!
 
Kumbe ni tetesi @Anakonda, nilidhani una uhakikia huo, kaisaidie polisi basi kama unadhani cahadema ni malaika hawakosei wewe ni taahira namba moja- kuwaa mwelewe-kama akikosea wa chadema sheria iko pale pale tu. Ikiwa unaona vipi nedna kapime mahakamani kukamatwa kwake. Isije ikafika mahali hata wa cdm akibaka na kukamatwa atakuwa kaonewa. Mbona wewe hujakamatwa?
 
Kwani wewe @Makoye 2009 unadhani siasa ni urafiki? Waambie wakae chonjo kukwepa makosa. Ikiwa sauti ya Lwakatare inasikika aliyemtuma kwenda kurekodi ni nani? Alitaka kupima joto? Serikali yoyote duniani haipimwi joto hata kama ni huko unakodhani kuna democrasia. Umesahau ya kupitishwa kwa sheria ya ugaidi ambayo wewe na wenzio mliifagilia ukadhani itawabana waislam tu-sasa ndo hali hiyo-. Usijali mawakili nguli wa cdm wapo watamtetea na atatoka tu. Hii maana yake ni "tuwe wakweli toka moyoni hadi mdomoni na usione mwenzie anategeshewa ukashangilia ukadhani wewe u salama
 
Vipi wale waliowawa kwenye uchaguzi wa Igunga wahusika hawakamatwi au wale waliowakata mapanga wabunge wa chadema polisi haiwajui? Vipi Rpc marehemu wa mwanza naye waliyomuuua hawajulikani.
 
Mwigulu kutuma vijana Ndago na kuhusishwa na utekwaji na kuteswa raia, mbona hakamatwi? Ilaaniwe ccm daima kwa matumizi mabaya ya vyombo vya dola.

Utalaani sana mwaka huu kwa sababu cdm inahusika? au unalaani kwa sababu haki haitendeki japo kwa asiye kuwa cdm?
 
Hivi hawa jamaa wanafanya siasa za namna gani hizi? Kumbe migaidi imejificha katika jamii inauwa watu inajifanya miungwanaaa? Hatari sana hii

Magonjwa 7, pata ushauri wa Dr. Paurine, inaweza saidia wewe.
 
this government is impotent-wenje
wale wengine walikuwa wakali kwa vile wana small minds and big heads- impotent - from online dictionary ina maana zaidi ya moja;

im·po·tent adj. 1. Lacking physical strength or vigor; weak.
2. Lacking in power, as to act effectively; helpless: "Technology without morality is barbarous; morality without technology is impotent" (Freeman J. Dyson).
3. a. Incapable of sexual intercourse, often because of an inability to achieve or sustain an erection.
b. Sterile. Used of males.

4. Obsolete Lacking self-restraint.



.....
 
150419_355026611263437_1951252696_n.jpg

Mlianza kutembea na sumu mfukoni na sasa mnatembea na vidumu vya tindikali

Ya Lwakatare imeisha? naona umehamia kwingine sasa....kesho utakuja na nyingine but nobody pays attention!
 
hatutarijii tofauti na hii coment yako, maana hata wewe mwenyewe ni mtuhumiwa. just a matter of time. hamuwezi kuachiwa mkitanua na kudhuru watu tu kama vile nchi haina utawala wa sheria.

Wenye akili za kushikiwa mmebaki wachache sana...by the way keep it up!
 
tumia kichwa kujenga hoja...gaidi anatembea na sumu auwe watu we wacheka nae...look at you

Unajua maana ya ugaidi? au huko ndio kujenga hoja....nani ameuawa na huyo jamaa?
Akili za Shonza zinaongoza akili zako....you are more than a f........!
 
Back
Top Bottom