Halafu SAYANSIKIMU mbona ha2kuon kule mtaani kwe2 ndo umehama moja kwa moja
Wa chini ya nusu dola...labdaaa.
By the way mzima wewe? Salaam ni nusu ya kuonana. Nakusalimu
Au tumia hii .......... chuki nichukie lakini moyo wangu niachie.......
Panda tena kidogo mdau naangukaNaongeza shilingi 5000/=
Panda tena kidogo mdau naanguka
Hali swal kunamwenzio jana amepigwa mkonzi ya uso ila kaomba msamaha kwa sasa aaaa2po naesawa
Marahabaa....mzima weye?
Unaitwa JLW
Afu weweeeeee, unitafute kwa muda wangu