Shindano: Mr. Yahaya wa jf

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
2,309
Reaction score
1,552
Wanajamvi, Jf ni jamii ya watu wenye tabia, mienendo na taaluma mbali mbali! Kuna mada mbali mbali zinatolewa hapa na watu tunajimwaga kuchangia. Tunawajua matajiri wa hapa Jf, nadhani tajiri wa kutupwa ni Bishanga. Mtu mwenye wake wengi ni Paw, Mwenye vimada wengi ni erickb 52, nadhani umefika wakati wa kumtambua mtu mwenye tabia na mienendo kama ya Yahaya yule anayetajwa katika wimbo wa Lady Jaydee. Mimi yahaya wangu ni Simplicity, nimefuatilia mada zake hapa, ninahakika kabisa huyu ni Yahaya

Karibuni

CC MziziMkavu, watu8, King'asti, lara 1, Wiyelele,
 
Last edited by a moderator:
Heheh...mkimpata huyo Yahaya naomba mnitambulishe nimweke mbali na watoto.
 
Hahahahhah!

Sidhani kama jinsia inamata hapa! ila ni rare sana kukuta binti anatabia kama za Yahaya wa Lady Jaydee

Basi kama vipi basi yahaya acha awe Mentor. Tooop....
 
Last edited by a moderator:
Excellent na Filipo na Mr Rocky hawamo??? Naandamana. Halafu na Boflo hayumo? BAGAH hayumo? @ nicas mtei hayumo????? Nasema hiiiiiivi NAAANDAMANA

Unajua Lucas, tupo katika stage ya kwanza ya kupendekeza majina, hata wewe ni ruksa kupendekeza kwa vigezo, lile swali lako kwa @Aspirin ni muhimu, kama hana majibu, ruksa kumwingiza kwenye list, Nitakuwa nai-update hii list kadiri mtakavyokuwa mnapendekeza
 
Last edited by a moderator:

Ahsanteeee, ongeza Vin Diesel, Baba V na nitonye
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…