Shindano bubu la Tsh.10,000,000/=

Kwenye karatasi umetisha njoo field bro
 
Nipo tayari kuanza hii naomba nambie napata wapi hizi sabuni nataka nianze kwa mtaji wa laki moja
 
Labda ubeti Kwa sh.200 upate efu87, Kwa siku 7, ubahatishe siku5 ukose siku2, utakuwa umepata 435,000
 
Ukinipa buku nikuzalishie 100000 Kwa wiki ni rahisi Sana
Ukinipa buku naenda kununua vocha ya 1000 cha kwanza naweka kwenye simu naunga bando langu 1000 napata kama MB 400 naingia mtandao wa kijamii Mimi uwa nauza vitabu online natafuta kavaa za vitabu nzuri naweka maneno mazuri napost uhakika kabisa Kwa wiki faida ya laki ni ndogo Sana kwa wiki nitakuletee ata zaidi ya hiyo laki kama faida nipost kava na maneno mazuri naamini watu watapenda nitawaambia wanapata Kwa bei nafuu mtu akipenda naenda kwenye saiti nyingi vitabu ni bure naenda napakuwa namtumia navuta pesa yangu kiulaini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…