Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,436
- 1,627
Hmmm!.Kipindi navuta banki nilikua napenda sana kuvuta kabla ya kulala, na mapema saana baada ya kuamka.
Ndio. Nataka watu wajue wazo la ujasiriamali au biashara ni bora kuliko mtaji.Yaani siku saba iwe laki?
Halafu utampatia 10m???
Nilifanikiwa kuuacha, hapo unapata picha gani?Hmmm!.
Bado unaamini mmea unakupa furaha au akili!?..
kwanza utajuaje kuwa nimetumia 1000Habari Tanzania !..
Wewe kijana ukipewa kiasi cha pesa Tsh.1,000/=. Ukaambiwa ndani ya siku 7 uifanyie uzalishaji hiyo pesa kwa zaidi ya mapato ya Tsh.100,000/= utaweza!?..
Endapo ukiweza kuzalisha hiyo pesa utapata kiasi cha Tsh.10,000,000/= taslimu bure kabisa. Uweze kuendeleza kile utakachokuwa umekianzisha na zaidi.
Karibu.
Anhaa!nia yako unatumotive Nini ausio!?Ndio. Nataka watu wajue wazo la ujasiriamali au biashara ni bora kuliko mtaji.
Ukiweza karibu. Mambo kwa ushahidi.
Dah! 😂Hiyo buku mimi nanunua vocha dakika kama zote. Nampigia Masalu Jacob anikopeshe 20k, binti kiziwi nampanga fresh 30k naipata toka kwake, MIN-me akinipa 30k, hiyo iliyobaki leo dada anajazia tayari laki mnipe hiyo 10m nitoe 1m wagawane kesi kwisha. Na hata wiki haitasha.
Hiyo buku mimi nanunua vocha dakika kama zote. Nampigia Masalu Jacob anikopeshe 20k, binti kiziwi nampanga fresh 30k naipata toka kwake, MIN-me akinipa 30k, hiyo iliyobaki leo dada anajazia tayari laki mnipe hiyo 10m nitoe 1m wagawane kesi kwisha. Na hata wiki haitasha.
umeona eeHii tunaita akili kubwa
Hahahahaaa... mkuu nakukubali unapiga kama mastermind....Hiyo buku mimi nanunua vocha dakika kama zote. Nampigia Masalu Jacob anikopeshe 20k, binti kiziwi nampanga fresh 30k naipata toka kwake, MIN-me akinipa 30k, hiyo iliyobaki leo dada anajazia tayari laki mnipe hiyo 10m nitoe 1m wagawane kesi kwisha. Na hata wiki haitasha.
kichwa bado fresh hakijaingia funza. Afu ujue mim ni milinia sio gen z, na kwa kawaida sisi ndio vichwa kila kitu unafanya kwa kutumia kichwa chako sio sasa hivi hadi AI mnaletewa iwasaidie coz vichwa empty.Hahahahaaa... mkuu nakukubali unapiga kama mastermind....
AI ina impact kubwa... ila na negative impact zipo¡¡¡ ngoja twende nayo hivohivo yanini kujitesa...kichwa bado fresh hakijaingia funza. Afu ujue mim ni milinia sio gen z, na kwa kawaida sisi ndio vibwa kila kitu unafanya kwa kutumia kichwa chako sio sasa hivi hadi AI mnaletewa iwasaidie coz vichwa empty.