Shimoni alipopataja Makonda ndio wapi?

Na amekuwa akidai anatafuta kitu cha kwenda kujibu mbele ya Mungu kama vile dhambi iliyopo duniani ni moja tu....Na zile Uongo, Uasherati na zingine zote keshazikabili..

ha!ha!hakuna dhambi ndogo kubwa wala ndogo
 
Sero ya Central iko underground, wanapaita shimoni, alikuwa anamlenga Mbowe amegoma kujisalimisha akahojiwe.
Yaa ni kweli mkuu umemjibu vizuri kuna shimo pale chini hakuna hata taa ni giza tuu na taa iliopo inawaka mwisho pale mlangoni na ukiingizwa mle huoni chochote ni kiza tuu na kama midude hiyo inapiga ngumi balaaa sijui ni robot au ni nini lakini hisikii sauti ni kichapo tuu
 
Hivi kwanini hayo majina hayakutajwa ndipo akabidhiwe mkurugenzi wa kamisheni ya madawa ya kulevya? Mbona awamu ya kwanza na ya pili ya mchakato huu majina yalikuwa yanatajwa yanakabidhiwa kwa Sirro? Kwenye serikalli ya awamu ya nne rais wa awamu hiyo alisema alipelekewa majina 78. Mpaka leo hatujui waliokuwemo. Kwa vile inasemekana ilikuwa sahihi kwa mkuu wa mkoa wa Dar kutaja majina kwa awamu mbili mbona hii ya tatu majina hayajatajwa? Nani mwenye jibu sahihi?
 
Sinema ya kutaja majina ilishakwishaga pale mlengwa mkuu alipotajwa mh Mbowe,wengine walikuwa ni wasindikizaji tu,so hutasikia hata jina moja likitajwa tena.
 
Huko Shimoni usiku wake mmoja ni sawa na usiku mia kwanza kuna baridi hatari na kama ujuavyo shati lazima uvuliwe... ndio kasema kuna watu hawakutegemea kufika lakini wamefika...

Hadithi ya Mtego wa Panya inatuhusu wote japo muadithiaji haijui vizuri kama inamuhusu hadi yeye... Ng'ombe lazima achinjwe ni sawa na kukata tawi ulilolikalia
Duh,

Kwanza pole aisee. Nahisi walishawahi kukupeleka huko shimon.

Sasa hilo baridi linatoka wapi?
 
Duh,

Kwanza pole aisee. Nahisi walishawahi kukupeleka huko shimon.

Sasa hilo baridi linatoka wapi?
Mkuu sijawahi lala huko ila kuna washikaji walilala huko ndio walitoa story haswa hiyo ya baridi hadi nikaogofya...
 
Mkuu sijawahi lala huko ila kuna washikaji walilala huko ndio walitoa story haswa hiyo ya baridi hadi nikaogofya...
Pole zao sana,

Hope wako poa now.

Mimi najiuliza, ila sijapata majibu. Naomba nikuulize huenda nikapata.

je, wale kwenye list ya makonda, (kuamzia ile ya wakina wema hadi manji) kuna watu ambao sio maarufu nao walitajwa.?!

Kama ndio, je wako wapi sasa hivi.?!

Na mbona hilo kundi halijazungumziwa kabisa wala kua na utetezi.?!

Samahani kwa haya maswali though ...
 
Usipo kuwa Maarufu kuna raha zake sababu hufuatiliwi sana unaweza fanya chochote na maisha yakaendelea tu labda mtaani kwako tu ndio wanaweza fahamu kama kuna wambea. Ila kesi zinaendelea kama kawaida hakuna wa kupona. Jiwe halita beba jiwe.
 
Hawa watu husahau kuwa hawatakua watawala milele

Hizi tambo baadae zitageuka vilio
 
Back
Top Bottom