Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Wadau amani kwenu,katika dhana ileile ya uwazi na uwajibikaji naomba kuhoji,katika hotuba yake mkuu wa mkoa wa Daress salam Paul Makonda leo hii wakati akizungumzia suala la madawa ya kulevya na madhara yake awamu ya 3,alitaja maneno yafuatayo
"Ukitaka kuwavusha watu ng'ambo ya pili usishauriane nao njia ya kupita,
Usilete mbembwe kwenye utawala huu,na mimi umri wangu unaruhusu kufanya haya,
Sasa wewe jifanye kusema mimi kijana MDOGO,ndo hapo utajua shimoni ni wapi,.
Kila MTU anatafsiri yake kwendana na imani yake na mimi tafsiri yangu ni hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.
Kuna waliojiandaa juu ya matusi mimi kwa upande yangu hayanibabaishi,
Nikijiridhisha wewe ni hatari kwenye mkoa wangu,unaweza ukaondoka na kuacha ndala tu.
Hawa nitakao wataja hapa leo kuna joto kidogo.
Sasa naomba kujuzwa Shimoni ni wapi?nini?je hiyo shimoni ipo Tz?na kama ni Tz ipo sehemu gani?
Je, inahusiana vipi na maneno ya Makonda maana kwa kauli yake Shimoni inaonekana kama sehemu maalum kwa kazi maalumu,ama alikuwa anaizunguzia Shimoni ile ya Mombasa nchini Kenya ambapo kuna baadhi ya raia wa Tz kutoka visiwani walikimbilia kule baada ya machafuko?2001je alikusudia kupataja ama neno hilo lilimponyoka?.
Kwakutambua Jf wapo watu wa aina mbalimbali,kazi mbalimbli na uwezo wa kufikiri mbalimbali,nimeona hapa ni sehemu sahihi ya kujadili hili na kupewa majibu sahihi,karibuni kwa mwenye majibu mujarabu.