Kwanza peleka jukwaa la lugha alafu soma jibu langu:
Shimo: ni uwazi lenye kua na volume. Maana yake distance kati ya mdomo wa uwazi na mwisho ya uwazi kuna distance fulani na upande wa mwisho unakua umezibwa: shimo la taka
Tundu: Ni uwazi ambao distance kati ya mdomo na mwisho wa uwazi hakuna distance kubwa: Tundu la choo
Tobo: ni uwazi mdogo ambao una mpana mdogo na mara nyingi hua sio natural: tobo la nguo (hapa unaweza kulinganisha na neno KUTOBOA).
Ila tofauti kati ya hayo maneno inategemea na maeneo unapo yatumia.
Kuna wakati tunaongea kiswahili safi bila kufata haya: tundu la sindano