Shimo la choo cha kutumbukiza limemsaidia Jamaa

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
447
Kwa muda mrefu Jamaa anafanya kazi kwa mwarabu, Mwarabu alikuwa na tabia ya kufunga kilemba kichwani bila ya kukivua hata siku moja ............. siku moja kile kilemba kikadondoka kwa bahati mbaya..... kumbe mwarabu alikuwa anafunga kile kilemba kwa kuficha PEMBE moja kama ya ng'ombe iliyoota kushoto kwa kichwa chake... Jamaa alipoona ile pembe akashtuka sana Mwarabu akamwambia jamaa kuwa najua umeona Pembe yangu katika kichwa changu sasa nakuambia hivi .... OLE wako!!!! Usimwambie mtu yoyote maishani mwako kwamba Mwarabu ana pembe, na siku utakayosema hata kwa mkeo ndio utakuwa mwisho wa maisha yako utakufa siku hiyo hiyo! Jamaa jambo lilimpa taabu sana, kila akitamani kumwambia mtu, .. anakumbuka kifo... hatimaye akaenda katika shimo la choo cha kutumbukiza akainamia shimo kuhakikisha hakuna mtu atakayesikia ... akagumia kwa sauti kubwa Mwarabu ana PEMBEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE EEEEEEEEE kile kimuhemuhe cha umbea kikamtoka akawa Freeeee!!!
 
Converted from "Mfalme ana masikio marefu kama ya Punda".Vijana wa siku hizi hawazijui story hizi.
Hongera lakini umejitahidi.

Haya hadithi hii inatufundisha nini?
Mpigieni makofi jamaniiii!
 
Back
Top Bottom