Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,550
- 1,422
KWAHIYO UKIPIMA UMEEPUKA KUFA CYO?Pima ili uweze kutambua afya yako.
kama ukikutwa na maambukizi utaanza kutumia dozi.
KWAHIYO UKIPIMA UMEEPUKA KUFA CYO?Pima ili uweze kutambua afya yako.
kama ukikutwa na maambukizi utaanza kutumia dozi.
Endapo nikipima na kukutwa na maambukizi nitaanza kutumia dawa za kufubaza virusi nitaendelea kuishi nikiwa na afya njema na hivyo sinto kufa haraka.KWAHIYO UKIPIMA UMEEPUKA KUFA CYO?
KWAHIYO UKIPIMA UMEEPUKA KUFA CYO?
sio lazima uumwe, twende ukahakiki afya yako kesho. trh 1/12/2022Aliyekwambia tunaumwa nani?
Mkuu kwani leo kuna kitu gani mpaka uhamasishe kupima au ndio ukimwi day...nitoe ushamba kakaleo ni tarehe 1/12/2022, sote tukiandae twende tukpime vvu.
kupima ni bureee hutoi hata shilingi.
ushauri nasaha bureee.
kama ulivyo sema leo ni siku ya Ukimwi duniani, hivyo katika kuadhimisha siku ya leo ni vyema tukacheki afya zetu kwa kupima vvu.Mkuu kwani leo kuna kitu gani mpaka uhamasishe kupima au ndio ukimwi day...nitoe ushamba kaka
Watapita wachache hapa na uzi wako ukifikisha viewers mia shukuru.Kesho tarehe 1/12/2022 twendeni tukapime maambukizi ya vvu ili kujua afya zetu. Endapo utakuwa umeathirika unaweza kutumia dozi ya ARV na kuepusha maambukizi zaidi...
Vijana wanapataka wazee wanapataka 🤣🤣🤣🤣🤣Haka ugonjwa kamekaha sehemu pabaya sana
unahusika sana.Nahisi nimevamia uzi usio nihusu