Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

Were hapo Lumumba inaonekana mgeni kabisa nyinyi buku saba mmo kwenye kanuni za chama chenu hata akitoka jiwe nyie buku saba hamtoki usihofu hata kidogo kanuni ya buku saba kuishi hapo Lumumba kwa kulipwa buku saba haitabadilika
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kila mwenye nia njema na Taifa hili anaelewa Mh. Rais anavyoingoza Nchi. Ni Rais wa watu wote mwenye dhamira ya kweli kuleta maendeleo halisi nchini.

Mengi amefanya kwa muda mfupi na mengi yanaendelea kufanywa kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Ningependa kuomba vijana tuandamane kulishikiza bunge lirekebishe katiba ili tumpe muda wa kutosha Mh. Rais Dr. John Pombe Magufuli kututengenezea Tanzania mpya.

Ikiwezekana aongoze kwa miaka 30 badala ya 10 ya sasa.
Ni kweli kwa muda mfupi tu yaaniMiaka minne tu deni la taifa ameongeza kwa zaidi ya tr. 20 sasa hiyo miaka 30 ukigawanya kwa 4 tunapata 7.5. Ukizidisha Mara 20 tr. Utapata kama tr. 150. Kwahiyo baada ya miaka 30 wewe na watz mtaokaokuwepo hata mkiuzwa hamuwezi kulipa hili deni cc wazee tutakuwa tumeshateremka kwenye hii dunia. Vitu vikidakwa mnalalamika pumbavu kila mkihema vichwa maji kama wewe.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kila mwenye nia njema na Taifa hili anaelewa Mh. Rais anavyoingoza Nchi. Ni Rais wa watu wote mwenye dhamira ya kweli kuleta maendeleo halisi nchini.

Mengi amefanya kwa muda mfupi na mengi yanaendelea kufanywa kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Ningependa kuomba vijana tuandamane kulishikiza bunge lirekebishe katiba ili tumpe muda wa kutosha Mh. Rais Dr. John Pombe Magufuli kututengenezea Tanzania mpya.

Ikiwezekana aongoze kwa miaka 30 badala ya 10 ya sasa.
Modal tutakayo tumia ni ile ya vijana wa ufipa kumchukulia fomu DJ.
 
Mkishakuwa nyuma ya keyboard mnajifanya wajuaji sana kama kweli unajiamini tokeza hadharani tukuone.
Mimi siogopi mtu na ogopa Mungu tu sipo nyuma ya keyboard kama unataka namba yangu nakutumia mimi nafanya kazi halali sijaajiriwa kuwa nitafukuzwa sitegemei yeyote kupata ridhiki, katika maisha yangu nachotaka ni haki tu kwa wanyonge wa taifa hili.
Siwezi kujikomba kwa yeyote maana ninao uwezo wa kuendesha maisha yangu na ya wengine kiuchumi siyo kama wewe ambaye unatafta huruma ya uteuzi.
 
Raisi aongezewe vipindi vya uongozi walau viwe 50 kwa awamu moja na awe na uhuru wa kujiongezea ata milele pia kiwepo kipengele cha kurithisha familia yake..
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kila mwenye nia njema na Taifa hili anaelewa Mh. Rais anavyoingoza Nchi. Ni Rais wa watu wote mwenye dhamira ya kweli kuleta maendeleo halisi nchini.

Mengi amefanya kwa muda mfupi na mengi yanaendelea kufanywa kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Ningependa kuomba vijana tuandamane kulishikiza bunge lirekebishe katiba ili tumpe muda wa kutosha Mh. Rais Dr. John Pombe Magufuli kututengenezea Tanzania mpya.

Ikiwezekana aongoze kwa miaka 30 badala ya 10 ya sasa.
Senior Man tuyajenge haya ni mema
0758 299 165 Man D.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kila mwenye nia njema na Taifa hili anaelewa Mh. Rais anavyoingoza Nchi. Ni Rais wa watu wote mwenye dhamira ya kweli kuleta maendeleo halisi nchini.

Mengi amefanya kwa muda mfupi na mengi yanaendelea kufanywa kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Ningependa kuomba vijana tuandamane kulishikiza bunge lirekebishe katiba ili tumpe muda wa kutosha Mh. Rais Dr. John Pombe Magufuli kututengenezea Tanzania mpya.

Ikiwezekana aongoze kwa miaka 30 badala ya 10 ya sasa.
Nina uhakika 100% kuwa ukomo wa muda wa urais utakapoondolewa watakaoumia zaidi ni ccm wenyewe kuliko upinzani, kwanini ?

Kwasababu moja kuu: watakaobaki kwenye system watakuwa ccm tu. Hao ndio watakaokamuliwa damu na hawatakuwa na pa kukimbilia.

Upinzani unaonewa kwasababu bado upo kwenye system; utakapoondolewa hiyo vacuum itajazwa na ccm wenyewe, na ndipo watakapoanza kujutia ila watakuwa wameshachelewa sana.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kila mwenye nia njema na Taifa hili anaelewa Mh. Rais anavyoingoza Nchi. Ni Rais wa watu wote mwenye dhamira ya kweli kuleta maendeleo halisi nchini.

Mengi amefanya kwa muda mfupi na mengi yanaendelea kufanywa kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Ningependa kuomba vijana tuandamane kulishikiza bunge lirekebishe katiba ili tumpe muda wa kutosha Mh. Rais Dr. John Pombe Magufuli kututengenezea Tanzania mpya.

Ikiwezekana aongoze kwa miaka 30 badala ya 10 ya sasa.
Au unasemea ile vijana choir?
 
Vijana wanakufa mtaani huku ajira hamna kabisa. Tangu aingie madarakani ajira amezipa kisogo ili apate sifa za kujenga SGR ambayo hauna msaada wowote.

Mi hata kesho ikitokea mtu wa kumpuga risasi nitafurahi Sana na nitashinda baa siku nzima au wiki nzima mana ndo utakuwa mwanzo was vijana nao kuneemeka na rasilimali through ajira bwerere kama ilivyokuwa kwa jk. Hata private sector imekuwa kizungumkuti kila siku wanapunguza wafanyakazi biashara zimekuwa ngumu.

Rais gani ambaye hajali welfare ya watu mpaka wazazi wamekata tamaa kusomesha watoto mana chini ya hili bogus ajira hamna kabisa.
Hivi Tanzania hakuna waganga au wachawi watuondolee hili dudu mtu? Haingii akikini kabisa watoto wa nyonge tokea walipo hitimu elimu yao ya juu mpka leo no miaka mnne hawajawahi kuajiliwa. Lakini mdogo wake kapata ajira akiwa bado chuo ,utasikia sauti ikitokea puani ,"msema kweli ni mpenzi wa mungu mm ni mtetezi wa wanyonge "wanyongee!
 
Mimi siogopi mtu na ogopa Mungu tu sipo nyuma ya keyboard kama unataka namba yangu nakutumia mimi nafanya kazi halali sijaajiriwa kuwa nitafukuzwa sitegemei yeyote kupata ridhiki, katika maisha yangu nachotaka ni haki tu kwa wanyonge wa taifa hili.
Siwezi kujikomba kwa yeyote maana ninao uwezo wa kuendesha maisha yangu na ya wengine kiuchumi siyo kama wewe ambaye unatafta huruma ya uteuzi.
Umeandika kwa hasira sana MIPANGO YAKO YOTE UNAWATEGEMEA WATU ILI UIFANIKISHE
 
Suala la kubadilisha vifungu vya katiba ili kuondoa ukomo wa uongozi lipo bayana, na maandalizi yake yanajidhihirisha kabisa. Kilichotokea ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa 2019 na CCM kuibuka na ushindi wa kimbunga kwa hila ndivyo ambavyo itatokea ktk uchaguzi mkuu wa 2020.

Mazingira yatafanyika, ili pia ikiwezekana waibuke na ushindi mwingine wa 99% kwa hila zilezile walizozitumia ktk uchaguzi wa Tanzania Visiwani wa 2015 na huu sasa wa mwaka huu kwa upande wa Tanzania Bara. Hapo inatafutwa "quorum" ambayo kwa kauli moja wataazimia na hatimaye kuondoa ukomo ili Mheshimiwa akapate kuwafikisha wanyonge ktk nchi iliyojaa maziwa na asali.

Lakini, nawaambia wana CCM; Ole wenu! Siku zitakuja na mtakumbuka umuhimu wa uwepo wa vyama vya upinzani, vyama vya kiraia na wanaharakati wenye uhuru wakuonyesha mapungufu ya serikali iliyopo madarakani, kwa sababu hawa ndiyo wenye kuweza kumkemea na kumpinga Mzee Baba kwa ujasiri mkubwa pasipo kuwa woga wowote ule. Kile ambacho anakifanya Mheshimiwa Membe sasa kitakuja kuwa ni ndoto, na hata atakayejaribu kuthubutu kuropoka ama kupingana Mwenyekiti atashughulikiwa barabara, siyo tu ndani vikao vya chama na kupitia vyombo vya dola.
 
naunga mkono hoja. mm hata nilale njaa nitaendelea kumuunga mkona magufuli. ni bora atawale hata miaka 30 ili aliyoyakusudia yapate kutimia ndipo na wengine waingie. naamin kwa uongoz madhubuti wa magufuli baada ya miaka 30 nchi itakua mbali sana ktk nyanja zote.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kila mwenye nia njema na Taifa hili anaelewa Mh. Rais anavyoingoza Nchi. Ni Rais wa watu wote mwenye dhamira ya kweli kuleta maendeleo halisi nchini.

Mengi amefanya kwa muda mfupi na mengi yanaendelea kufanywa kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Ningependa kuomba vijana tuandamane kulishikiza bunge lirekebishe katiba ili tumpe muda wa kutosha Mh. Rais Dr. John Pombe Magufuli kututengenezea Tanzania mpya.

Ikiwezekana aongoze kwa miaka 30 badala ya 10 ya sasa.
Ninaunga hoja mkono 100%, tumeibiwa mno,tumeteseka mno, Sasa tunaelekea pazuri na tuna kiongozi mahiri tuliyepewa na mungu.sasa ni wakati wa kuelekea kubadili katiba JPM atuongoze Hadi 2035,ikifika kipindi hicho nchi yetu utakuwa kwenye kundi la nchi zilizoendelea. Tangu baada ya kipindi Cha mwalimu nyerere tulipoteza uelekeo, Sasa tumepata uelekeo tunamuhitaji JPM tu.JPM mungu akubariki.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kila mwenye nia njema na Taifa hili anaelewa Mh. Rais anavyoingoza Nchi. Ni Rais wa watu wote mwenye dhamira ya kweli kuleta maendeleo halisi nchini.

Mengi amefanya kwa muda mfupi na mengi yanaendelea kufanywa kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Ningependa kuomba vijana tuandamane kulishikiza bunge lirekebishe katiba ili tumpe muda wa kutosha Mh. Rais Dr. John Pombe Magufuli kututengenezea Tanzania mpya.

Ikiwezekana aongoze kwa miaka 30 badala ya 10 ya sasa.
Nadhani angepelekwa Samunge akagonge tena Kikombe cha Babu...afu na sisi wazee tungesapoti upuuzi...
 
Back
Top Bottom