Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,187
Well, kama ni mzuri kiasi hicho angetuwakilisha vizuri zaidi kwenye nchi zenye vita. China tunahitaji mtu mahiri kwenye masuala ya uchumi, si uanajeshiUkiachana na siasa uchwara na propaganda, Shimbo ni mchapa kazi.
Ametumia uwezo wake na upeo akimsaidia Gen Mwamunyange kulibadilisha Jeshi.
Kazi alizofanya naamini wanajeshi watazikumbuka.
Hivi sasa wanajeshi wana hali nzuri.
Naamini ataiwakilisha vyema nchi yetu nchini China
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums