Shilole amchana Alikiba

Ndio maana makina Diamond yanampiga bao huyo pimbi.ye kakalia maringo ya kike tu.
 
Reactions: Qwy
Huu uzi umejaa vijana wa tandale mmeshindwa kuchukua story pande zote hivi kudhalilishwa kuzuri? Mtu kaja kwenye kona yako halafu anatema shombo unaweza kumchekea? Hapo si anaharibu brand ya mwenzie hilo hamuoni? Kiba yupo sahihi
 
Huu uzi umejaa vijana wa tandale mmeshindwa kuchukua story pande zote hivi kudhalilishwa kuzuri? Mtu kaja kwenye kona yako halafu anatema shombo unaweza kumchekea? Hapo si anaharibu brand ya mwenzie hilo hamuoni? Kiba yupo sahihi
Wapumbavu watupu hawa wengi wao ni chawa
 
Kweli shishi huwa mropokaji ndio ila Mimi sikujua hyo event ya Ali Hadi nilipomuona shilole alipoitwa na kuongea na kiba akiwa anaona, tena shishi alishindwa kuvaa viatu video zake Zika trend kuliko tukio lake huyo kiba.
Unafiki punguzeni aisee
 
Chokochoko ameanzisha Kiba au Shilole?
Hakuna chokochoko yoyote iliyoanzishwa na yoyote, wote ni mafala tu wapenda mipasho ili wapate attention.
Mara mmoja kasema anamzidi mwenzake followers, so what? Is it a big deal? Si kitu cha kupotezea tu.
Then huyu naye kafura kwa kuwa mwenzie kasema hakumualika, is it an issue?
Baada ya tukio mmoja kaachia audio na mwingine kaachia video, wanaojipofusha au wenye akili finyu hawataelewa michezo ya wasanii kuvuta attention(kiki)
Upuuzi wa ooh flani si mtu wa kiki husemwa na stupid goons lakini kila mwenye akili timamu is capable of reading between the lines.
 
wanampita mafanikio ya kufanyaje!!!!

acheni uduanzi bana,usiforce unachoona wewe kiwe sawa kwa kila mtu.
nyimbo za kwa mparange hizo ndio unaita mafanikio!!!
Numbers don't lie, acha makasiriko. Ukimjibu kwa solid facts nitakuelewa(I bet you can) lakini si kukimbilia kwenye mipasho.
 
Hafu huyo kiba bora alivokuwa kimya kumbe huwa ni mjinga hivi namshauri aendelee na ukimya huo maana akiongea anajizalilisha
Hao wanomchokoa kwa maswali ndio nao wanamponza.
 
Reactions: Qwy
Ali ni very poor kwenye kujenga/kuwasilisha hoja...si muongeaji mzuri...ilibidi apate ushauri wa namna ya kuwasilisha hoja yake hata kama ilikuwa ni kujibu mashambulizi...au la basi angenyamaza tu na wala asingepoteza kitu.
 
Hahaha..Mama Lishe, Watu mna maneno.

Nakumbuka kuna wakati Bakhresa walikuwa wanamuita 'Muuza Aiskrimu'.
Nina mashaka kama una akili timamu, Yani Ali ni wa kushindana na mama ntilie?

Siku akiambiwa ana kibamia atavuwa zipu kuwaonesha watu kuwa hana kimamia?

Ni ujinga mtupu Ali kujiweka level na mama ntilie.
 
Shilole amesema Ali Kibamia hana hela ya kumzidi yeye. Kitu ambacho ni kweli. Kwa hotel 2 za Shishi..kulaza kila siku Milioni 3 faida, sio ajabu. Hasa ukizingatia kuwa biashara ya chakula ina faida sana. Ali Kibamia hana biashara yoyote ya kumuingizia hizo hela. Mi nashangaa jamaa huwa ana madharau sana lakin hana kitu yoyote. Na hiyo ndo Ina mcost, Wenzake kina diamond na harmonize wapo marekani sasaiv wanapiga show, yeye yupo tu hapa bongo anajibishana na mademu ambao wamemshinda hela. Stupid!
 
Sasa huyu Shilole naye ana hotel au lodge/guest house?
 
Sasa huyu Shilole naye ana hotel au lodge/guest house?
Hotel za vyakula( migahawa)..Shishi foods. Watu wanadharau biashara ya chakula.. lakin hakuna biashara Ina faida kama ya chakula. Kuna hotel naijua Arusha, chai na vitafunio tu mpaka asubuhi ya saa 5 anakuwa ameishapata faida ya laki 4...sasa niambie huyo dada ana hotel 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…