Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,267
😂Kinachomuuma Shilole alimtombea chooni walivokuwa kwenye Fiesta Mwanza kipindi hicho.Sasa kila akikumbuka roho inamuuma sana.
Ni nukuu, pengine wanafahamika kwa kiasi fulaniHao kina shilole na Ali kiba ndo kina Nani hapa mjini?
Umeandika kana kwamba kila mtu humu anawafahamu
Umesimamia upande wako, vizuri sana kusimama upande sahihiSi mkubali ali
Umesimamia upande wako, vizuri sana kusimama upande sahihi
Tobaaa....🙆Kinachomuuma Shilole ni walivokuwa kwenye Fiesta Mwanza kipindi hicho.Sasa kila akikumbuka roho inamuuma sana.
👍Yaaah najisikia vizuri kuwa muwazi katika hili
Shilole anadai amedharauliwaanaforce kujuana huyu.
Kama ulichoandika ni kweli unashindwa vipi kumuheshimu mwanamke uliyesex naye?Kinachomuuma Shilole ni walivokuwa kwenye Fiesta Mwanza kipindi hicho.Sasa kila akikumbuka roho inamuuma sana.
Pengine wangeheshimiana mikwaruzo isingekuwepoKama ulichoandika ni kweli unashindwa vipi kumuheshimu mwanamke uliyesex naye?
Huyu mtoto mshamba sana tena sana.
matendo ya mtu ndiyo husababisha either aheshimiwe au adharauliwe.Shilole anadai amedharauliwa
😄KIBURI NA MAJIVUNO NI MOJA YA VITU VINAVYOMPOTEZA KIBA
Jamaa hana washauri wazuri
Kinachomuuma Shilole ni walivokuwa kwenye Fiesta Mwanza kipindi hicho.Sasa kila akikumbuka roho inamuuma sana.
Kipindi cha nyuma alizungumza dada yakeKiba ana dharau za kijinga sana yule