General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
nchi tajiri ila wananchi wake ni masikini ......Hii nchi ni tajiri wacha uchochezi
Hata akipeleka hujaona kuwa mkulu anaongeza wanasheria bungeni wa kumlinda?Ivi Zitto anapeleka lini hoja yake bungeni
Ivi Zitto anapeleka lini hoja yake bungeni
Hali ni tete pesa zote kawapa Polisi wazitumie kuwanyanyasa Wapinzani pia Lipumba kachukua kiasi kikubwa na zingine zimenunua ndege na kujenga uwanja wa ndege chato,Uchumi hauwezi kukua kwa style hii ya kuchukua pato la Taifa kutumia hovyo hovyo kwa kuwapa watu kama Lipumba wanagawana Gheto,itachukua miaka mingi Tanzania kupiga hatua endapo akina Tramp na wenzao hawatasaidia kuikataa CCM mapema.Sasa namba zinajidhihirisha wazi, shilingi inashukaa kwa kasi sana. Ni juzi tu ilikuwa 2180Tsh kwa dola 1.
Unaambiwa utalii na soko letu la nje limepwayaa.
Wafanyabiashara wengi sasa wana ishi kwa hofu, wengi waanza kubadili fedha zao kwa dola ili kujihakikishia usalama wao kifedha.
Mapato yameshuka, fedha zote za TRA huishia kwenye mishahara na matumizi ya kawaida.
Fedha za maendeleo tunategemea mikopo ambayo bado inaonesha hatufai kukopeshwa.
EU na US sasa hawatoi misaada, nasikia na Mchina huyo kazingua kwenye mkopo wa ujenz wa reli.
Nasikia Wakubwa Dunian wametuacha tulivyo waone Mbio zetu zitaishia wapi.
Wafanyabiashara Kariakoo wengi mbioni kufilisika, madeni ya mikopo inawasumbua. Biashara haziendi.
Nnii hatma ya hii?
Dodoma kwenyewe hakuendeki pesa za kuhamia Dodoma zimenunua mabomu ya machozi na zingine ni kwa ajili ya posho za polisi pindi waliwapiga mabomu Wapinzani, waziri mkuu yupo busy na kuficha njaa na kumsaka faru Dume akiwa Dsm hataki kwenda Dodoma pia,walisema watahamia Dodoma haraka wote wapo Dsm hakuna Dalili tena,kama viongozi wanadanganya umma unadhani wananchi wanajifunza nini hapo? Sasa ni mwendo wa ahadi hewa...,,Namsubiri kwa hamu sana
Ndege ya kwenda DOdoma wakati hata hiyo nauli ya mwendokasi mtihani.....
Viongozi Mungu anawaona
Nchi ni tajiri kweli lakini yule aliyeshika utajiri anatumia pesa za Umma kwa mambo ambayo hayana tija kwa watanzania wengi,Mfano kuchukua pesa za Umma kumpatia Lipumba aue CUF adhoofishe ukawa hayo ni matumizi mabaya ya pesa za umma,zipo kero nyingi za msingi hata hao polis wenyewe wana kero zao lakini wameamua kuwapiga ndugu zao bila huruma kisa wanasaka vyeo kupitia mgongo wa Wapinzani.Hii nchi ni tajiri wacha uchochezi
KUPANDA ama KUSHUKA kwa thamani ya fedha hutegemea FACTORS/VISABABISHO vingi sana.Sasa namba zinajidhihirisha wazi, shilingi inashukaa kwa kasi sana. Ni juzi tu ilikuwa 2180Tsh kwa dola 1.
Unaambiwa utalii na soko letu la nje limepwayaa.
Wafanyabiashara wengi sasa wana ishi kwa hofu, wengi waanza kubadili fedha zao kwa dola ili kujihakikishia usalama wao kifedha.
Mapato yameshuka, fedha zote za TRA huishia kwenye mishahara na matumizi ya kawaida.
Fedha za maendeleo tunategemea mikopo ambayo bado inaonesha hatufai kukopeshwa.
EU na US sasa hawatoi misaada, nasikia na Mchina huyo kazingua kwenye mkopo wa ujenz wa reli.
Nasikia Wakubwa Dunian wametuacha tulivyo waone Mbio zetu zitaishia wapi.
Wafanyabiashara Kariakoo wengi mbioni kufilisika, madeni ya mikopo inawasumbua. Biashara haziendi.
Nnii hatma ya hii?
Dodoma kwenyewe hakuendeki pesa za kuhamia Dodoma zimenunua mabomu ya machozi na zingine ni kwa ajili ya posho za polisi pindi waliwapiga mabomu Wapinzani, waziri mkuu yupo busy na kuficha njaa na kumsaka faru Dume akiwa Dsm hataki kwenda Dodoma pia,walisema watahamia Dodoma haraka wote wapo Dsm hakuna Dalili tena,kama viongozi wanadanganya umma unadhani wananchi wanajifunza nini hapo? Sasa ni mwendo wa ahadi hewa...,,