Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa kutoka kwa wakwepa kodi Azam ICD

Patamu sana hapo...

Tukisema twende kihalali halali, matajiri wengi wa kiafrika watarudi juu ya mawe...

Waendelee kubanwa tu.
Hayo ni mawazo mgando hakuna tajiri atakaerudi juu ya mawe kama anasifa za kuitwa tajiri tatizo lenu ni pale mtu akiweza kufadhili timu ya mpira basi mnamwita tajiri
 
Ni one step forward but several steps backward katika ukusanyaji wa mapato katika bandari ambayo mizigo imepungua mara dufu
 
Patamu sana hapo...

Tukisema twende kihalali halali, matajiri wengi wa kiafrika watarudi juu ya mawe...

Waendelee kubanwa tu.
Na tukisema twende kihalali halali masakini wengi watazidi kudididmia
 
Patamu sana hapo...

Tukisema twende kihalali halali, matajiri wengi wa kiafrika watarudi juu ya mawe...

Waendelee kubanwa tu.
Katika dunia hii Mungu ameumba utajiri na umasikini na vile vile amejaalia mtu kupanda kimaisha na kushuka na vile vile amejaalia mtu kupanda kimaisha bila kushuka hadi kufa
 
mmhh ndo maana timu ya Azam fc imekuwa mdebwedo kumbe bosi wao kabanwa!
umeambiwa wafanyabiashara na sio mfanyabiashara. na hakuna mzigo hata moja wa Azam ambao imo katika list wa kupita bila ya kodi. Ni wafanyakazi wa Azam ICD pamoja na wafanyakazi wa TRA ndio waliopitisha makontena ya wafanyabiashara bila ya kulipa kodi ili wale wao yale madola
 
Najua mkuu nawatoa watu povu tu!
 
Alikuwa anatoa mizigo, si kwa kutumia kampuni yake. Alikuwa anatumia makampuni ya watu wengine.
kumbuka homeshopping centre alikuwa anaconsolidate loose cargo za wafanyabiashara mbalimbali na kusafirisha na kuja kuclear mzigo kabla hajakabidhi kwa mteja wake.
Sasa nachotaka kujua yale maneno ya home shopping centre kukweba kodi yalikuwa majungu tu,maana ripoti zote sioni jina lao kama walikwepa kodi
 
Ni one step forward but several steps backward katika ukusanyaji wa mapato katika bandari ambayo mizigo imepungua mara dufu
Ndio maana wanatumia njia hii ya kutaifisha mali ili wafikie lengo. Nchi imekauka.
 
Watu Wengine wakisikia jina Azam hata bila kuelewa kinachozungumziwa wanaumwa na bado.......
 
Back
Top Bottom