Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa kutoka kwa wakwepa kodi Azam ICD

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Mamlaka ya kukusanya kodi TRA kupitia madalali wa Yono Auction Mart wamekusanya mali za bilioni 3 pamoja na kutaifisha mali za bilioni 10 kutoka kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena 329 kupitia bandari kavu ya Azam bila kulipa kodi na bado wanaendelea na msako bara na visiwani.

Madalali hao wamesema watu walipe kodi na watoe risiti za elekroniki la sivyo mali zitakamatwa.

 
Unaweza kuwa unaandika unajiona unatoa nondo kumbe unaonyesha ujinga wako hivi unajua maana ya ICD? Ukiona jina Azzam tu unakurupuka kuchangia mada.
Sure mana mtu hata hajasoma kwa umakini kesha kurupukia neno Azam.
 
Back
Top Bottom