real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Sh1.9 bilioni zitatumika kukarabati Ukumbi wa Bunge kwa kubadilisha meza za zamani na kuweka mpya, ikiwa ni takriban miezi 20 tangu likarabatiwe kwa Sh8.2 bilioni kwa ajili ya kuliwezesha kumudu Bunge la Katiba lililokuwa na idadi kubwa ya wajumbe.
Chanzo: Mwananchi
Chanzo: Mwananchi