Shikamooni Wanawake,Nimewainulia mikono!!

Shikamooni Wanawake,Nimewainulia mikono!!

Hahaha, demu wangu sasa alikuwa anaona nawasiliana na dada flan hv rafk angu sana sema ni mzuri yule dada. Alichofanya coz kupta cm angu ngumu na alikuw hapend niwe na ukarib nae eti, bhs akaomba cm angu am call mtu daah si akamtxt yule dada kuwa aache shobo kwangu hajui kama me mme wa mtu?? Wanawake shikamooo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mmh
hapo kweli alitumia akili, maana kwa kutuma meseji fasta fasta bila kuakiki angekukamata.
Nikupongeze
kwa kujua namba za mkeo kichwan.
kujua namba za Magreth

Mara paa " Hellow Mage, nmemis sana penzi lako motomoto, Alafu uyu Mbwaa naye sijamtia mwezi, naomba kesho tukutane pale maana nina nyegee kama zote "

Kuna haya
Akuambie lkn bado nayeye aliwe tu
Asikuambie lkn bado ataliwa tu nje
Akusamehe lkn bado ataliwa tu njee
Yeye ndo aje mlipokubaliana, mgombane ,akusamehe LAKINI BADO ATALIWA TU NJE .


Kwa ufupi, mnapowasiliti wake zenu, kwa akili zao za kwann,, ili aridhike ajihisi ajapoteza LAZIMA NAYE ATOE MZIGO NJE.


ndio maana, nirahisi kumla demu aloachwa/gombana na jamaa ake muda mfupi ulopita..Mwanamke alogundua mumewe anachepuka /anamnyanyasa.

"Dume la Nyani haliogopi Umande"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeendelea kutuma msg tena za kikaz zaid ukidemand majibu ya papo hapo, Nina uhakika asingejibu there after unatafuta namba nyengne unampgia uone response yake
Hana akili. Njia za kizamani sana hizi. Afu kuogopa kutuma SMS it seems ulikuwa na mahusiano zaidi ya kiofisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah ah ah kwa hiyo tumeelewana et

Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaa kwa namna ulivyoiweka, nitashindwaje sasa kukuelewa, unaonekana wakat wa safar yako ya kielimu, na Hata sasa nje ya kielimu, ulikua/umekua muelimishaji wa watu , na kwa busara , uzuri mmmhhh hamna mwanafunzi asompenda "Madame Gorgeous"

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Ungeendelea kutuma msg tena za kikaz zaid ukidemand majibu ya papo hapo, Nina uhakika asingejibu there after unatafuta namba nyengne unampgia uone response yake
Mujarabu kabisaa.Kutendo cha kutotuma message kinaweza kikaleta picha mbaya zaid ..
 
Back
Top Bottom