Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,909
- 53,903
Nina ujumbe wako naomba ujeMbabu
Na nimekufuma kwelii ...mekumic piaUwiiiii mbn umenifumaaa hapa hahaha ungefumba macho basi my[emoji23]
Ila.mekumis
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
[emoji8][emoji8][emoji8]usiombe Talaka bado nakuhitaji
Mtabaki kuwa juu kwa kulia shida na sivinginevyo.[emoji23][emoji23]pole wanawake tutabaki kua juu juu san
Samahan kuharibu hali ya hewa[emoji23][emoji23]pole wanawake tutabaki kua juu juu san
[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji8][emoji8][emoji8]usiombe Talaka bado nakuhitaji
"In Good times ,Friends know you BUT in Sorrow, you know them [emoji23]"
[emoji106][emoji106]Samahan kuharibu hali ya hewa
Ila usisahau kuwa Piere nae atabaki kuwa juu juu angani
13SEPTEMBER
Sio wote wenye shidaMtabaki kuwa juu kwa kulia shida na sivinginevyo.
[emoji23][emoji23]pole wanawake tutabaki kua juu juu san
Semaaa yeaaaaaaaayhJuu mawinguniii, in Pierre's voice
Semaaa yeaaaaaaaayh
Huo ni upuuzi so what kama ni chai kunywa basi,jf kila stori ni chai sasa ipi ni uji?
Ya Kwangu natumia COBOL. Au nitatumia cipher Cesar codes sitakagi mazoea mimi. Tumia misimbo ya Ki IT achani kutengeneza password kwa mazoea. Unatengeneza password inalingana na mwaka uliozaliwa, itakuwaje password sasa hapo.Nimeanza kwa kuwasalimia kwa sababu nadhani wote mna uwezo huu. Ilikuwa miezi kadhaa nyuma mke wangu alihisi kwamba nina uhusiano na binti mmoja hivi, lakini mbele yenu nasema ukweli sikuwa na uhusiano na yule binti hata kidogo ila kulikuwa na mawasiliano ya kikazi ambayo wakati mwingine ilikuwa tunaongea muda mrefu na mara nyingi hasa ninapokuwa nje au mbali na ofisi.
Mke wangu aliniluliza na kawaka sana lakini nilijaribu kumuelewesha. Sasa kilichonifanya niawasalimie ni kuwa hivi majuzi nimechukua simu nimpigie yule nimpe maelekzo ila nikaona meseji itakuwa sawa. Nikatafuta jina la Magreth kwenye simu nikawa natuma meseji nikamwomba anifanyie kazi fulani meseji imeenda ndio macho yakanituma mbona hiyo namba iliyoandikwa Magreth ni ya mkeo ya laini ya airtel,inamaana mke wangu alifuta namba ya Magreth akaedit jina lake likawa na Magreth ila namba yake na hapo alikuwa anasubiri kuona kama nawasiliana nini na Magreth.
Sikutuma ile meseji na nimekaa kimya mwezi wa pili sasa na nimeacha kama alivyo save jina la Magreh kwenye namba yake!!!
Shikamooni wanawake mbinu zenu ziko juu ndio maana mnaweza kujua password za simu zetu bila hata kuambiwa
Nzuri kamanda, tunaambiwa tuishi na wake zetu kwa akili sana,, ulitumia akili brotherhapo kweli alitumia akili, maana kwa kutuma meseji fasta fasta bila kuakiki angekukamata.
Nikupongeze
[emoji117]kwa kujua namba za mkeo kichwan.
[emoji117]kujua namba za Magreth
Mara paa " Hellow Mage, nmemis sana penzi lako motomoto, Alafu uyu Mbwaa naye sijamtia mwezi, naomba kesho tukutane pale maana nina nyegee kama zote "
Kuna haya
[emoji117]Akuambie lkn bado nayeye aliwe tu
[emoji117]Asikuambie lkn bado ataliwa tu nje
[emoji117]Akusamehe lkn bado ataliwa tu njee
[emoji117]Yeye ndo aje mlipokubaliana, mgombane ,akusamehe LAKINI BADO ATALIWA TU NJE .
Kwa ufupi, mnapowasiliti wake zenu, kwa akili zao za kwann,, ili aridhike ajihisi ajapoteza LAZIMA NAYE ATOE MZIGO NJE.
ndio maana, nirahisi kumla demu aloachwa/gombana na jamaa ake muda mfupi ulopita..Mwanamke alogundua mumewe anachepuka /anamnyanyasa.
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
mtabaki kileleni sababu tunawapeleka wenyewe kilelenuJuu kileleni,.
Mkuu mbona unapaniki..?Huo ni upuuzi so what kama ni chai kunywa basi,jf kila stori ni chai sasa ipi ni uji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiishie juu tu,naomba nikufikishe kileleni![emoji23][emoji23]pole wanawake tutabaki kua juu juu san
[emoji41]Usiishie juu tu,naomba nikufikishe kileleni!