Shikamooni Wanawake,Nimewainulia mikono!!

Shikamooni Wanawake,Nimewainulia mikono!!

hapo kweli alitumia akili, maana kwa kutuma meseji fasta fasta bila kuakiki angekukamata.
Nikupongeze
[emoji117]kwa kujua namba za mkeo kichwan.
[emoji117]kujua namba za Magreth

Mara paa " Hellow Mage, nmemis sana penzi lako motomoto, Alafu uyu Mbwaa naye sijamtia mwezi, naomba kesho tukutane pale maana nina nyegee kama zote "

Kuna haya
[emoji117]Akuambie lkn bado nayeye aliwe tu
[emoji117]Asikuambie lkn bado ataliwa tu nje
[emoji117]Akusamehe lkn bado ataliwa tu njee
[emoji117]Yeye ndo aje mlipokubaliana, mgombane ,akusamehe LAKINI BADO ATALIWA TU NJE .


Kwa ufupi, mnapowasiliti wake zenu, kwa akili zao za kwann,, ili aridhike ajihisi ajapoteza LAZIMA NAYE ATOE MZIGO NJE.


ndio maana, nirahisi kumla demu aloachwa/gombana na jamaa ake muda mfupi ulopita..Mwanamke alogundua mumewe anachepuka /anamnyanyasa.

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Chukua soda nitajalipa
 
Back
Top Bottom